Mke wa mpangaji mwenzangu

Mke wa mpangaji mwenzangu

Hasa mtu kama hauna mda naye s kumpuuzia alafu tatzo la wanaume mnawazaga negative hata mtu akiwa hana mpango na ww unaeza dhan anakutega wanaume mwingine ukimchangamkia anajua ushampenda wanaume jmn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah , mkuu piga puchu fursa hiyo , enzi zangu kabla sijastaafu chaputa hizo zilikuwa fursa za kujikwamua, ila wewe ni fala maana unaona fursa huzitumii wapi team CHAPUTA
 
Naona wadau wametoa mapovu ya kutosha utafkili nimeleta uzi wa kumtaka jirani,dirisha lake liko kwa chini ambako ndo huko huko jikoni,bafuni,chooni,stoo n.k so kwa yeyote anaepita lazma aone kama ni kijitanua chumbani kwako c unashusha pazia kwani kuna anaekuzuia.
Mapovu ya kutosha mwatoa tu kwani chumbani kwako ndo unajitanua na uku umeacha mlango wazi heshima kuheshimina
 
Sina lengo lolote la kumtongoza wala cjawahi kua na hisia nae na sina mpanho wowote wa kmutaka mke wa mtu kwani hapo hapo kna binti mbichi tu cjawahi mtaka sembuse hyo mke wa jamaa nachotaka ni heshima kama nilivo mheshimu ck zote
 
Unakikaribisha kifo au nuksi katika maisha yako,kwa ushauri hama hapo mabinti wako wengi tu huko duniani,na ni wazuri pia.
 
Back
Top Bottom