MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,444
- 69,265
Jina lako limenikumbusha mwanamziki fulani hivi nampenda sana anaitwa Smokey Robinson.Mkuu changamkia fursa

Mimi ni kijana ambae sijaoa na nimepanga chumba ambapo hapo napoishi anakaa jamaa fluani mwenye mke na mtoto mmoja.
Mimi na jamaa wote tunashinda kwenye mishe zetu bt inatokeaga muda mwingne mchana naenda nyumbani coz ni karibu na kazini kwangu.
Kimbembe kinakuja pale napokua natoka zangu ndani kwangu aidha naingia uani au bafuni kuoga sababu jamaa chumba chake kiko karibu na choo*bafu na kina dirisha upande huo unakuta shemeji huyo(mkewe jamaa)amelala ndani kwake amevaa chupi tu halafu kapandisha pazia kila kitu wazi wazi hivyo basi nashindwa kumuelewa jirani huyo anamaana gani.
Ukizingatia hapo nyuma huyo mkewe jamaa alikua akiniwekea mitego ya kukaa vibaya nikamwambia akapunguza bt saivi simuelewi kabisa.
Ananizingua ukizingatia mimi bado bachelor na nawaheshimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengne wajinga Sana, mtu kalala ndani kwake unasema anakutega, acha shobo na wake za Watu mjinga ww...Mimi ni kijana ambae sijaoa na nimepanga chumba ambapo hapo napoishi anakaa jamaa fluani mwenye mke na mtoto mmoja.
Mimi na jamaa wote tunashinda kwenye mishe zetu bt inatokeaga muda mwingne mchana naenda nyumbani coz ni karibu na kazini kwangu.
Kimbembe kinakuja pale napokua natoka zangu ndani kwangu aidha naingia uani au bafuni kuoga sababu jamaa chumba chake kiko karibu na choo*bafu na kina dirisha upande huo unakuta shemeji huyo(mkewe jamaa)amelala ndani kwake amevaa chupi tu halafu kapandisha pazia kila kitu wazi wazi hivyo basi nashindwa kumuelewa jirani huyo anamaana gani.
Ukizingatia hapo nyuma huyo mkewe jamaa alikua akiniwekea mitego ya kukaa vibaya nikamwambia akapunguza bt saivi simuelewi kabisa.
Ananizingua ukizingatia mimi bado bachelor na nawaheshimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa baba umesomeka nakushauri jifanye kama umuoniSina lengo lolote la kumtongoza wala cjawahi kua na hisia nae na sina mpanho wowote wa kmutaka mke wa mtu kwani hapo hapo kna binti mbichi tu cjawahi mtaka sembuse hyo mke wa jamaa nachotaka ni heshima kama nilivo mheshimu ck zote