mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Wooiiiiiiiiii nifumbe na kila kitu mimi woooiiiifumba na kila kitu sio macho tu
Wooiiiiiiiiii nifumbe na kila kitu mimi woooiiiifumba na kila kitu sio macho tu
Hahaaa, anajidai macho yake yanajua sana kuzoom vitu vya mbali mpk madirishani Kwa watuAkome kuchungulia madirisha ya watu mtu asijiachie chumbani kwake kupata hewa eti anategwa
acha kuzuga pumbafamelala ndani kwake amevaa chupi tu halafu kapandisha pazia kila ktu wazi wazi hivyo basi nashindwa kumuelewa jirani huyo anamaana gan
Ndiwooo ndiwoooooWooiiiiiiiiii nifumbe na kila kitu mimi woooiiii



Anko jamaniiii nimekusahau nimekupenda kwa avatar yako
Hahahhahaha apambane na hamu zake tuHahaaa, anajidai macho yake yanajua sana kuzoom vitu vya mbali mpk madirishani Kwa watu![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
adi wewe unajua puchu ? ushawaishuudia mtu akipiga puchu ?Vipi mkuu
Hahaa hahaSasa mtu yupo chumbani kwake unashindwa kumwelewa vipi au ni tamaa zako tu za fisi.
Kwanini unachungulia madirisha ya watu?Utakuja kumwagiwa tindikali jiangalie.
Khaaa mkuu maswali gani hayo kila siku watu wanatoa ushuhuda za puchu humuadi wewe unajua puchu ? ushawaishuudia mtu akipiga puchu ?
Mtu ashindwe kukaa huru ndani kwake jamani. Uache kuchungulia madirishani kwa watu
Mkuu hii peeping Tom! Umeitoa kwenye Black patrol nini?Peeping Tom!

Umenikumbusha mbali sana Nawe siukaushe kwani kaongea chochoteMimi ni kijana ambae sijaoa na nimepanga chumba ambapo hapo napoishi anakaa jamaa fluani mwenye mke na mtoto mmoja.
Mimi na jamaa wote tunashinda kwenye mishe zetu bt inatokeaga muda mwingne mchana naenda nyumbani coz ni karibu na kazini kwangu.
Kimbembe kinakuja pale napokua natoka zangu ndani kwangu aidha naingia uani au bafuni kuoga sababu jamaa chumba chake kiko karibu na choo*bafu na kina dirisha upande huo unakuta shemeji huyo(mkewe jamaa)amelala ndani kwake amevaa chupi tu halafu kapandisha pazia kila kitu wazi wazi hivyo basi nashindwa kumuelewa jirani huyo anamaana gani.
Ukizingatia hapo nyuma huyo mkewe jamaa alikua akiniwekea mitego ya kukaa vibaya nikamwambia akapunguza bt saivi simuelewi kabisa.
Ananizingua ukizingatia mimi bado bachelor na nawaheshimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app