Wee bwana chupi zako zimeshakauka wacha nianze kufua za huyu mrembo Anastasia21😹😹😹 Kwahiyo unamkataa kisomi Ana asipewe pesa?
Anastasia21 mzabzab hataki anashindwa kusema..!!
Sasa mie miyeyusho kivipi tenaLamomy ndo tulikua tunamsubiri uyu mbona miyeyusho
Ahahaha 🥺 🥺 🥺 🥺 hapo chachaTorati 20:20
Tena mtu mume akilala na mke wa mjomba wake, ameufunua utupu wa mjomba wake; watauchukua uovu wao; watakufa bila kuzaa mwana.
😹😹😹 Una mbinu za kukwepa vizinga HR wangu…!!Wee bwana chupi zako zimeshakauka wacha nianze kufua za huyu mrembo Anastasia21
Mjomba alishafariki? Je, utamaduni wenu unaruhusu kuoa mke wa mjomba wako?Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
Mie aio hr bwana mie dobi wako😹😹😹 Una mbinu za kukwepa vizinga HR wangu…!!
Mzabzab mbona unavuruga topic 😹😹Mie napo nafua chupi zako bwana rotano baadae
Ila wewe 😹😹😹Mie aio hr bwana mie dobi wako
Tumpe tuu maama sii tuna $15000 kwenye account sasa kweli tushindwe kumpa 100k. Itakiwa roho m aya asije akauza mbususu kisa hela ya pasakaMzabzab mbona unavuruga topic 😹😹
Ana anaomba pesa ya pasaka, vipi tumpe?
Kasikilize wimbo wa TUNDAMANI FT MRISHO MPOTO_MJOMBA.Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
Sasa kwenye ile $2000 uliyosema utanipa toa 200 mpe Ana..!! Hii $15000 tutaizungusha kwa mchina si unajua tuna order kule babe 😹😹Tumpe tuu maama sii tuna $15000 kwenye account sasa kweli tushindwe kumpa 100k. Itakiwa roho m aya asije akauza mbususu kisa hela ya pasaka
Nimejaribu kukataa imeshindikana
Sawa bossSasa kwenye ile $2000 uliyosema utanipa toa 200 mpe Ana..!! Hii $15000 tutaizungusha kwa mchina si unajua tuna order kule babe 😹😹
Huyo mke wa mjomba ameolewa?Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
Piga kadude hako wewe.utashangaa kumbe hata baba yako alishapiga hapo.Kiafrika Afrika,mke ni wa ukoo mzimaMke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
Anastasia21 mtumie namba mzabzab akuwekee $200 chap ukafanye shopping 🛍️Sawa boss
Mh Ata simuamin boss wangu hr wako💔Anastasia21 mtumie namba mzabzab akuwekee $200 chap ukafanye shopping 🛍️
Kama kula mke wa mtu ngumu iweje hali ule mke wa mjomba wako asee?Torati 20:20
Tena mtu mume akilala na mke wa mjomba wake, ameufunua utupu wa mjomba wake; watauchukua uovu wao; watakufa bila kuzaa mwana.