AmenTorati 20:20
Tena mtu mume akilala na mke wa mjomba wake, ameufunua utupu wa mjomba wake; watauchukua uovu wao; watakufa bila kuzaa mwana.
Unahitaji chakulaJaman mpaka amalize si nimekufa njaa
MtaalamuLeta na wewe chupi zako nizifue
Ndio na njaa Leo sio pouwa💔Unahitaji chakula
Chakula kipiNdio na njaa Leo sio pouwa💔
Kuku za Kentucky 😊Chakula kipi
Leta chupi zako nifue utaikuta $200 yako hapaMh Ata simuamin boss wangu hr wako💔
Lamomy nakosa kweli ka Mia mbili💔Leta chupi zako nifue utaikuta $200 yako hapa
Sina chup chafu mm 😢😹😹 Nenda ukachukue usiogope..!!
Na chup unafuliwa bure 🤣
Mkusanyie safi akapige pasi… 😹Sina chup chafu mm 😢
Unanizingua tu sawa bhana nimegive up😹😹Mkusanyie safi akapige pasi… 😹
Hiiyo hoja mpelekee mjomba wako ila uwe na ushahidi. rekodi mazungumzo yenu halafu umpelekee mjomba utapata suluhu.Mke wa Mjomba amekiri kwangu kuwa ananihitaji kimapenzi. Nimejaribu kukataa imeshindikana. Buriani anko
Hamna wewe tatizo humuamini mzabzab, pesa nimempa atakupa mtafute muongee vizuri..!!Unanizingua tu sawa bhana nimegive up😹😹
Aya bhanaHamna wewe tatizo humuamini mzabzab, pesa nimempa atakupa mtafute muongee vizuri..!!