mtotofisi
Member
- Aug 24, 2020
- 27
- 47
Katika Hali ya kushangaza Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMA katika kata ya Songambele aliposimamishwa kumuombea Kura mumewe badala ya kusema CHAUMA OYE badala yake akasema CCM OYEEEE!!!!
Ilikuwa ni úzinduzi wa kampení ya mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHAUMMA
Ndugu Devota Minja
Ilikuwa ni úzinduzi wa kampení ya mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHAUMMA
Ndugu Devota Minja