Mke wa mchungaji ananitaka

Mke wa mchungaji ananitaka

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,806
Reaction score
2,349
Jamani hii sio hadithi ni ukweli yamenikuta.

Huyu mdada sasa mama nitaeleza Historia yake ili muelewe, mimi na yeye tulisoma Primary tukiwa darasa la sita nikamtongoza akanikatalia mimi nikawa mpole, wakati wetu darasa la sita miaka 18, baada ya muda akapata mimba na shule akaacha akataka nimuoe mimi nikamkataa kwa siri bila kumwambia basi shule ilipoisha tulitawanyika na mihangaiko ya maisha hatujakutana tena mimi nikaenda sekondari mpaka elimu ya juu.

Hapa majuzi akapata Namba yangu akanipigia akasema ameolewa yupo Arusha nikampongeza akasema, niende Nyumbani halafu akasema useme mimi ni kaka yake kwa mumewe siku nyingine akapiga simu tukaongea na mumewe safi tu ila siku moja mwaka juzi nilikuwa Arusha kikazi siku ya krismas nilienda kanisani kwao kusali basi tukasalimiana pale mumewe akijua mimi ni kaka yake basi tukaagana.

Tatizo likaja mumewe alisafiri akapiga Simu usiku sana kanitamkia kabisa anataka nifanye mpango niwe naye mapenzi yake kwangu bado yanamsumbua angalau tufanye mapenzi.

Mimi nimekataa ila ananisumbua sana.
 
nifanyaje yey ameolewa na mtu kabila lingine ndio mana anasema niseme mimi ni kaka yake story ni ndefu ila nimefupisha wana kanisa nzur sana kwenda nyumban niligoma kabisa kwa sabab hiyo. tusaidiane hali tete.
 
Endelea kukataa, akiendelea kukusumbua mwambie mumewe na mpange nae jinsi ya kumfumania ukiwa naye....ila kuwa mwangalifu isije ikabackfire...vinginevyo mwambie una kifua kikuu na uko kwenye dozi....ila kama una nia ya dhati ya kumwacha hutashindwa...au na wewe ndio wale sitaki nataka????? Angalia Mke wa mtu sumu!
 
jaman hii sio hadith ni ukweli yamenikuta. huyu mdada sasa mama nitaeleza historia yake ili muelewe. mim na yey tulisoma wote primary tukiwa darasa la sita nikamtongoza akanikatalia mim nikawa mpole, wakati wetu darasa la sita miaka 18, baada ya muda akapata mimba na shule akaacha akataka nimuoe mim nikamkataa kwa siri bila kumwambia basi shule ilipoisha tulitawanyika na mihangaiko ya maisha hatujakutana tena mim nikaenda sekondar mpaka elim ya juu. hapa majuz akapata namba yangu akanipigia akasema ameolewa yuko arusha nikampongeza akasema njoo nyumbani alafu akasema useme mimi ni kaka yake kwa mumewe siku nyingine akapiga simu tukaongea na mumewe safi tu ila siku moja mwaka juz nilikuwa arusha kikaz siku ya krismas nilienda kanisan kwao kusali basi tukasalimiana pale mumewe akijua mim ni kaka yake basi tukaagana. tatizo likaja mumewe alisafir akapiga simu usk sanaakanitamkia kabisa anataka nifanye mpango nionane naye mapenz yake kwangu bado yanamsumbua angalau tufanye mapenz. mim nimekataa ila anasumbua sana

Kanisa gani hapa Arusha? Kumbe ni wewe, sasa nimeshakujua! Ama lwako ama lwangu!
 
Kama ni kweli umemjua..isiwe kama ulivosema"ama lwako ama lwangu". Watu wengi wanakoseaga kuamua hapo! Aliyepotea ni mkeo ndo wa kudeal naye...muelewe na uendane naye. Maana kam ni wachunga kondoo, maana yake Yesu kawekwa kapuni.

Kwa mtoa mada, huyo mama ukimpotezea hutapata hasara, ila mpe matumaini kuwa one day yes...xo awe mvumilivu lkn ucjetenda naye icho akitakacho.

Nia yangu..kam ndo tabia yakee, basi ukimpa matumaini tu na mkawa mnaongea kawwidaa, utakuwa umemfunga asiendelee kuwachek vidume wengne. Na akikaa kwa muda fulani hiv bila kuipata yako na ya mwengneeee...huenda akawa amepata experiece ya UVUMILIVU. Hivyo utakuwa umemsaidia yey na mumewe.
 
nifanyaje yey ameolewa na mtu kabila lingine ndio mana anasema niseme mimi ni kaka yake story ni ndefu ila nimefupisha wana kanisa nzur sana kwenda nyumban niligoma kabisa kwa sabab hiyo. tusaidiane hali tete.

Kwahiyo alivyokwambia uongope kuwa wewe ni kaka yake ulikubari?
 
Wewe ulikuwa unamtaka huyo mmama. Alivokuambia udanganye kuwa we kakake kwanini ulikubali kama una akili timamu?
 
Mtego huo kaka,mke wa mtu sumu,siku hizi kuna smart phones ukidakwa tu watu wanachukua picha na siku hiyohiyo tunakuona kwenye vyombo vya habari na tutakujua kuwa kumbe maganjwa mwnenyewe ndio huyu!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kanisa gani hapa Arusha? Kumbe ni wewe, sasa nimeshakujua! Ama lwako ama lwangu!

Kwalipi na keshamtosa mkeo, kaa mjenge mkeo kiimani aondokewe na pepo chafu la uzinzi
 
1421033268810.jpg
 
jaman hii sio hadith ni ukweli yamenikuta. huyu mdada sasa mama nitaeleza historia yake ili muelewe. mim na yey tulisoma wote primary tukiwa darasa la sita nikamtongoza akanikatalia mim nikawa mpole, wakati wetu darasa la sita miaka 18, baada ya muda akapata mimba na shule akaacha akataka nimuoe mim nikamkataa kwa siri bila kumwambia basi shule ilipoisha tulitawanyika na mihangaiko ya maisha hatujakutana tena mim nikaenda sekondar mpaka elim ya juu. hapa majuz akapata namba yangu akanipigia akasema ameolewa yuko arusha nikampongeza akasema njoo nyumbani alafu akasema useme mimi ni kaka yake kwa mumewe siku nyingine akapiga simu tukaongea na mumewe safi tu ila siku moja mwaka juz nilikuwa arusha kikaz siku ya krismas nilienda kanisan kwao kusali basi tukasalimiana pale mumewe akijua mim ni kaka yake basi tukaagana. tatizo likaja mumewe alisafir akapiga simu usk sanaakanitamkia kabisa anataka nifanye mpango nionane naye mapenz yake kwangu bado yanamsumbua angalau tufanye mapenz. mim nimekataa ila anasumbua sana

Umeweka heading ya kukoleza story! Kabla hajawa mke wa mchungaji ni mtu mliyefahamiana miaka mingi nyuma na mkawa kwenye mchakato wa kuwa wapenzi kwahiyo hujatenda haki kumsema hivyo
 
Hivi, wachungaji wenyewe hawana ule mchezo wa mombasa? Naona mtu nakaribia kugeuzwa demu
 
Amina baba! Haya maisha ndio hivyo tena. Niliposoma mwanzoni nilipata hasira ya kibinadamu ila unavyosema ni vyema zaidi.

Kwalipi na keshamtosa mkeo, kaa mjenge mkeo kiimani aondokewe na pepo chafu la uzinzi
 
...ina maana kweli hujui cha kufanya???
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom