Mke wa marehemu Filikunjombe agoma kwenda kwa wajane wa Makonda, adai alienda kabla na hakusaidiwa

kwanini tu

Member
Nov 8, 2011
50
63
Adai alimfata makonda Toka mwaka Jana na hakumsaidia lolote.
Awaasa wajane wamtegemee mola peke yake
Screenshot_20190404-121144.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye uthubutu wa kuongea ukweli nchi hii ni wachache sana, hongera mjane na Mungu ampunzishe pema Filikunjombe alikunyunyizia chembe za ujasiri, acha wasio jielewa waendelee kucheza movie za Bashite.
 
Bashite anapenda sana kusumbua watu wenye matatizo,yanini kuita wote kwa pamoja? Kwasasa kuna mifumo ya kielectronics kwanini ajitumie mifumo ya kisasa kugenerate access codes kisha awe anaotoa access code za watu wa kuja kuonana nao,sasa wamama wote wajazane mlimani city kweli ataweza wote kuwasikiliza kwa siku 1?
 
Anataka kushindana na Jokate hana ubunifu
 
... hiyo picha ni yeye mwenyewe au kaitumia tu? Daaaah!
 
Back
Top Bottom