Mke wa Karamagi kizimbani kwa wizi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa Karamagi kizimbani kwa wizi...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 27, 2008.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 27, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,382
  Trophy Points: 280
  I know... Daily News sijui hawamjui "mke wa Karamagi" au wanataka kuanzisha varangati tu...!

  DAILY NEWS Reporter
  Daily News; Friday,June 27, 2008 @00:03


  The wife of former Minister of Energy and Minerals Nazir Karamagi, appeared yesterday before Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam charged with theft of a mobile phone and gold chain, all valued at 245,000/-, property of one Maselina Rweyemamu.

  Nadia Karamagi, a Russian, denied the charge before Resident Magistrate John Msafiri and is out on bail but the accused was ordered to surrender to the court her passport and other travel documents. Each surety was required to sign a bond of 200,000/-.

  The case will be mentioned on July 9, because investigations are incomplete. Inspector of Police Nassoro Sisiwaya told the court that Karamagi, who is a manager of Colossian Restaurant, stole the items - a gold chain valued at 90,000/- and a cellular phone valued at 155,000/- on June 17, this year, at around 11.00am at Oysterbay area in Kinondoni District.

  My Take:
  Daily News watatakiwa wasahihishe kwa kusababisha usumbufu kwa "mke" wa Karamagi on other hand, yawezekana anao wawili.
   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kama nakumbuka vizuri Kissa yule aliyekuwa mke wa Mongela ndiye mke wa Karamagi wa sasa, not sure i might be wrong. Inawezekana kuwa huyu mrusi waliachana. Lakini sijui kwanini habari hii imetolewa gazetini. Noana ni kama ina harufu ya siasa ndani yake na sio kuripoti uhalifu uliotokea. Siamini kama huyo mwanamke anaweza kuiba simu na cheni, otherwise kuna sarakasi inachezwa hatuijui.
   
 3. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Alishawaacha wote siku nyingi sana, ila ana mtoto na huyu mrusi anasoma kule NY kwenye shule ya private ya matajiri sana!
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Jun 27, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  This cannot be possible; jamaa huyu ni bilionea vile halafu mke wake aibe cellphone?

  Kwani hapa kuna anayemjua mke halisi wa Karamagi? Najua kuwa huyu jamaa alisoma Urusi miaka ile ukomunist na ilikuwa ni fasheni kurudi na wake wa kirusi wakati huo.
   
 5. N

  Nyerererist JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 443
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  habari za bungeni zinazowahusu wananchi wanaogopa kuziandika kwa undani!!!,,,sasa wanatafuta vijihabari vya ajabuajabu tuuuuuuuuuh...huu ni upuuzi na aibu kwa gezeti la serikali,,
   
 6. K

  Koba JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  .....eti surrender passport & travel document kwa wizi wa cellphone huyo hakimu is a big joke.
   
 7. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Once a wife of FISADI, always FISADI...kwi kwi kwi kwi..!!
   
 8. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Si gazeti la serikali tangiapo, ni la chama (CCM=Chama cha Mafisadi)
   
 9. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2008
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wenyewe kwa wenyewe wameanza kugombana
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  OPTION 1...

  HAWA KUNA JAMBO WANAFICHA!

  KWELI KIKWETE USIJE KUTA ANATAKA KUANZA KUWAZUNGUKA!
  Naona PASSPORT NDIYO WALIITAKA!

  Ila inawezekana hawataki kumyang'anya Passport kwasababu ya issues za ufisadi kwani bado wanasubiri bunge!

  Na wakati huo huo labda mama wa watu alikuwa kwenye mipango ya kutoroka!

  Usije ukashangaa ROSTAM NA YEYE ANAPORWA PASSPORT KWA WIZI WA KUKU!

  OPTION 2....

  Inaweza pia kuwa ni mbinu ya kusafishana ili watu wawaonee huruma na kusema kama kweli hawa ni mafisadi ni kivipi wapore cheni.

  Lolote lawezekana.
  Tutajua tu.
   
 11. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Utasurender Vipi Passport Kwa Wizi Wa Cheni?
  Yani Hii Kali!
  Tunaomba Chenge Naye Akamatwe Kwa Uchawi Kwanza!
   
 12. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwani sheria inasemaje?
   
 13. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Sheria Inasema Mama Anaweza Kutoroka Nchini Kwa Wizi Wa Cheni!

  INFLUENCE YOTE HIYO YA KUWA MKE WA KARAMAGI NA APORWE PASSPORT KWA WIZI WA CHENI?

  ccm HAO TUNAOWAFAHAMU?

  LABDA HUYO HAKIMU/JAJI AWE NA BEEF NA KARAMAGI!

  SASA KUNA WENGINE WANA URAIA WA IRANI NA TZ...WAMEGUSWA?
  MH MH MH!
   
 14. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Mambo Inaelekea Yanakwiva!

  Hopefully Siyo Wishfull Thinking!

  Option Ya Kusafishana Ipo Lakini Kwa Sasa Haina Hoja Nyingi Za Kuitetea!

  Tusubiri Tuone!
   
 15. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapana.

  Sheria inasema Mama anaweza kurudi kwao Urusi wakati wowote hata kama haogopi kesi ya wizi wa cheni!
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  ALA!
  TOKA LINI UKIWA ccm UNAGUSWA NA SHERIA?

  TENA MKE WA KARAMAGI?

  MKE WA KIGOGO WA ccm WANGEMTOSA KWELI NA KUMWACHA AUMBULIWE?

  KWA LIPI HILO?

  GOLD CHAIN WORTH OF TZ SHS 90,OOO?

  AMA CELL PHONE YA LAKI NA ARUBAINI?

  KARAMAGI UNAMJUA?
   
 17. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Mauwaji Ya Mzuzuri Yalimalizwa.
  Tena Live Live Na Familia Ishapewa Chao!
  Kulikoni Karamagi KWA WIZI WA CHENI NA CELLPHONE?
  MWANAKIJIJI EBU WASILIANA NAO BANA WAACHE UTANI!
  UNAWEZA KUTA SI MKE WA KARAMAGI BANA!
   
 18. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Usubuhi Subuhi Yote Hiyo Mama Kaenda Huko Osterbay Kukwapua Cheni Na Cellphone?
  Kama Wangeamua Kumalizana Nje Ya Mahakama...kuna Kitu Gani Mlalamikaji Angetaka Akose?
  Tena Angeweza Kununuliwa Sonara Na Duka La Cell Phone!
  Cheni Ya Gold...mke Wa Waziri Wa Madini Aliyesimamia Gold Mines Zetu!
  Hii Haijakaa Vizuri!
  Tusubiri Tuone!
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Ni maoni yangu tu!
  Na kama haya ninayoyasema hayana maana!
  Basi na hii habari nayo haina maana!
   
 20. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2008
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Karamagi alimwacha Kisa lini?. Mikwara na mbwembwe zote zile za kumpora John Mongela mke?. Kama ni kweli Kisa kaachwa na Karamagi hilo ni fundisho kubwa sana kwa Kisa, maana tamaa imemzidi mwanamke huyu. Alimkimbia John na watoto kwa kufuata mihela ya Karamagi.
   
Loading...