Mke wa kaka hataki kunifulia

Mke wa kaka hataki kunifulia

We boya unakaa kwa kakayako? Acha kuwanyima Raha wanandoa nenda kwenu hapo c kwako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki imenibidi tu nicheke walah. Jf haiboi yaani.
 
Yaani kama ni mdogo wangu nakupa nauli the same day, rudi nyumbani au tafuta pa kwenda.
 
Back
Top Bottom