Mke wa kaka hataki kunifulia

Nenda kaoe mke wako akufulie,
Mke wa kakako siyo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Una miaka mingapi? Au unaulemavu wa aina yoyote? Mfano we ni kipofu? Kama ndiyo bas mke wa kaka yako haukutendei haki awe anakufulia tu.
Ila kama ww uko normal tu na unajitambua na bado unaishi kwa kaka yako unakula ugali wa bure bado unataka na nguo ufuliwe bas we ni mjinga hujitambui. Oa uwe na kwako.

Unachanganya vitu.
Mtafute mwenye Uzi wake mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo serious au unatania?au kuna la chini.Je wapo kwako wanakutegemea au upo kwao?kama upo kwao wanakutunza (kwanza tayari ni mzigo )na vipi wafanya kazi gani au mwanachuo?
Yaani hiki ni kituko ulicholeta.Kama walikumbwa na Vyeti feki wewe ukawahifadhi kwa muda bado haikufanyi ukamwamuru Shemeji akufulie.)Hata iwe kwenye Situation gani .Understand??
Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom