Mke wa Kaka hataki kunifulia nguo

Acha ujinga dogo, shemej yako, akupikie ule ushibe, bado na nguo akufulie, hauna mikono au unamaanishaje? Madogo wa siku hiz tabu sana
 
Hakuna kitu kibaya kama umaskini

Nunueni mashine ya kufulia mambo ya kutaka mtu akufulie kwa mikono yamepitwa na wakati
Una pepo la umaskini wewe
 
Huyo mwanamke hana adabu kabisa. Mwambie waziwazi kwamba bila mama yako kumzaa kaka aliyemuoa, huenda hadi sasa angekuwa anadanga tu. Kama hataki kufua nguo za ndugu wa mumewe, aondoke hapo akatafute mume mwingine aache kuwachosha watu, ebo!
 
Wataka ***** weye!!
 
Ushauri wewe ni mpumbavu.
Au kwa lugha nyingine hata ukipewa Ushauri hautauelewa sababu ya upumbavu.
Kwa hiyo hata anavyofanyiwa kaka yako usiku unataka na wewe ufanyiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…