chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,544
- 2,693
Anataka nini kwani?Ndiyo anakutega hapo sasa hivi nini?
Maana uandishi wako hauna viwango.
Mpe anachotaka.
MtoriAnataka nini kwani?
Kiukweli mm sio mwandishi mzurii nisamehe kwa hilo ila kwa ku mpa anachotaka ni vigumu japo najua anataka nimtindueNdiyo anakutega hapo sasa hivi nini?
Maana uandishi wako hauna viwango.
Mpe anachotaka.
Shemeji mambo?Mtori
Ray ndo nan mkuu??Acha kuangalia movie za Ray utapinda akili.
Santee kwa ushauri ndo Mana nataka nisepe zangu niende Moro niikimbie dhambiAchana na hilo shetani, rudi home. Biblia inasema "mwanamke ndo chanzo cha dhambi duniani, na wote mtakufa kutokana na yeye" mtavunja undungu kwa ajili ya nyoro.
Rambo.Ray ndo nan mkuu??
Poa shemejiShemeji mambo?
Santee mkuu kwa ushaurHakuna Ushauri Mungine Zaidi Ya Kufunga Vilago Vyako Kurudi Uliko Toka Tofauti Na hivyo Ni Uhasama Ndani Ya Familia.
Hahahaha ndie anapenda hio stori ?Acha kuangalia movie za Ray utapinda akili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mwendo wa BM tu,, ila huyu anataka nimtindue yaan kaka hakiwa hayupo napata shida siwezi kuandika mengine humu yaan huyu ni kivurugeeSasa si ukapande hood uwahi moro?
Afu likizo gani unajazana kwa watu? kutembea kwa mtu siku 2 tatu unasepa wee unajibwaga bwaga kwenye masofa tu afu wenzio wamezoea kunjunjana shoo za kibabe sebuleni wewe umeenda unawajazia jam.
Ondoka mkuu.