Murano
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,056
- 1,129
ukute mmewe ni jamaa anatokea pale Tarime...otea nini kinafuata hapo.
mapanga nshaaa kimya kimya kesho utaskia ITV wanatangaza
ukute mmewe ni jamaa anatokea pale Tarime...otea nini kinafuata hapo.
kuondokana na usumbufu nioe mimi nimkomeshe huyo mwanamke na mimi ntaaza kuwasiliana na mumewe yeye sisi ana unga mi natafuta hela ya mboga
Sending......
Mme wake kastukia unawasiliana na mkewe au kashtukia unamlia?
teh teh teh mnapenda habari za kuaminikaa ......aseme kweli turidhike sie
teh teh teh mnapenda habari za kuaminikaa ......aseme kweli turidhike sie