Naogopa sana coz anajifanya ana wivu sana pind akinioona na dem yeyote msaada jaman au tigo wanaweza nisaidia?
utatekwaNaogopa sana coz anajifanya ana wivu sana pind akinioona na dem yeyote msaada jaman au tigo wanaweza nisaidia?
Habari WANA MMU, NAOMBENI MSAADA JINSI YA KUM BLACKJLIST mke wa jirani yangu cjui kapata wap namba yangu,ananisumbua sana,mume wake ameshaanza kushtukia.plz nisaidien coz cwekubadilisha namba.Natumia Nokia X2
Si ndio kutengeneza jina huko ama?!!!???Vijana wa mjini hawana adabu wanasimamia kucha kwa wake za watu....
Si ndio kutengeneza jina huko ama?!!!???