hhahaa ivi kwa nini watu wengi wanafikiri hiyo ID ni ya mwanaume me ke bwana "kweli inaniweka huru"
We unafuatilia?Nafurahi if yes.Halafu me niko seriious kama unafuatilia comment zangu najua unaamini namaanisha.Halafu hulalai au unacontrol fork lift?Mkubali huyu kijana wetu!
Ili apate amani.
Hao watakuwa hawafatilii comments zako!
Nisije nikadhani chenza kumbe ndimu bosi! Upo tayari nikutumie 'kama kipimio' cha oil? Ni katika kujua ubora tuu lakini
Ruta naona umejitolea kuwa mshenga wa hiari kwenye mke wa hiari it sound nice man.wakora weitu
Uzuri ni very subjective Ronn,me naweza kujiona mnene mweupe na sifa nyinginezo kumbe mwenzangu wew kwako uzuri ni weusi wembamba na mengineyo.Cv hatutofautiani sana the difference lies kwenye nyumba na masters me nina ya ITDuh! Ke wewe mzuri au? Ambatanisha cv
Da umenitamanisha kula samaki wa maji freshKasinge mgole waitu!
Uzuri ni very subjective Ronn,me naweza kujiona mnene mweupe na sifa nyinginezo kumbe mwenzangu wew kwako uzuri ni weusi wembamba na mengineyo.Cv hatutofautiani sana the difference lies kwenye nyumba na masters me nina ya IT
Talkative are highly discouraged to apply!
Mie mwembamba hapana ila sio unene tipwatipwa! Maximum weight should not be below 58 and in anyway not above 70! Of course with this weight the figure must be defined. Any colour do well with me save only for serious blackness! Talkative are highly discouraged to apply!
Talkative are highly discouraged to apply!
Jamani mshenga ofa yangu naona imekataliwa indirectly ngoja nilale kwa uzuni niwahi kanisani.wooote nawatakia weekenda njema yenye amani na baraka tele!
nilipo hakuitaji ndege!Mshenga kweli unafaa hii idd itabidi nikutafute nikkupe kikombe cha kahawa sasa kama uko ulipo ndo kwa kukapanda ndege cjui itakuwaje