mimi sijali kuhus mke wa mbowe (lilian mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.
tatizo ninaloliona ni la kwa nini mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu chadema??
inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (kafulila & danda juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?
mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?
Mke wa Freeman Mbowe anafahamika kama Dk.Lillian Mtei-Mbowe na Mzee Edwin Mtei, Mwenyekiti Mstaafu na Muasisi wa CHADEMA ambaye ni mwanaJF hafichi kuwa Freeman ameoa bintiye.
Dk. Lillian ni daktari mwandamizi na anaongoza kliniki inayoshughulikia waathirika wa Ukimwi iliyoko mahala Hospitali ya Sewa Haji ilipokuwa, karibu na ofisi za Regional Police Commander, Dar es Salaam.
Kama Mtanzania mzalendo ningeomba Dr Lillian Mtei-Mbowe aendelee kuhudumia wagonjwa wake kwa juhudi zote. Endapo mumewe atakubaliwa na umma kufanya mambo makuu zaidi, hakuna shaka Dk. ataweza kumsaidia pia kama mkewe.
Sisi WanaJF tujadili mambo muhimu zaidi. Hata hao wake wa viongozi wengine wakuu walikuwa ama waalimu, mama wa nyumbani au maofisa katika idara au kampuni wakati waume zao wakiwa katika harakati za kuwania ofisi za juu ktk umma.
Inabidi na mke wa lipumba, mrema, mbatia uwaweke hapa maana na wao wanataka kuwa marais..why mbowe peke yake ndugu?
Kubwajinga, hili ni swali zuri, kwani Kikwete ameshajitokeza kujibu mengi yanayoisulubu CCM?
Maybe they have something in common!!! needs some similarities
1. ...........
2. ................
3.
Lakini, Je Mbowe anakisingizio gani cha kumfanya asiongee na wanahabari, hata kama ni wa gazeti lake, kujibu tuhuma ambazo nyingi zimeelekezwa kwake?
Mwenyekiti mbowe na mzee ndesamburo wameifadhili chadema kwa kipindi chote...
...kwaio lazima wawe na usemi mkubwa au tuite ushawishi mkubwa kwenye chama.
Hata kwenye kampuni wenye hisa kubwa wana usemi mkubwa kuliko wenye hisa ndogo.
Na mke wa Dk. Dau
Sorry, who is he? Politician wa Chadema/opposition pia au?
Tunajua kuwa ni mtoto wa Kiongozi mwingine wa CHADEMA bwana Mtei
lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?
Anajificha nini?
Mindhali Freeman ni public figure kama JK na mindhali anaweza kuwa rais wetu huko baadae si vibaya public na private life yake kuwa under scrutiny na bila kusahau what his wife has been up lately
Kama wewe?Ni fisadi, mwizi, mdini, na mengine ambayo nitayabania. Therefore, as far as I'm concerned, fisadi yeyote yule ni public figure.....
NimekusomaNi fisadi, mwizi, mdini, na mengine ambayo nitayabania. Therefore, as far as I'm concerned, fisadi yeyote yule ni public figure.....
Kama wewe?
Game theory acha unafiki huyo mama akisema ajihusishe na shughuli za chama utakuwa wa kwanza humu ndani ku-prove natharia ya Chadema ni chama cha familia kwa kupigilia misumari zaidi kama kawaida yako bila kuangalia credentials! Muache afanye kazi zake za kila siku yaani udaktari, si kila mtu mwanasiasa!Tunajua kuwa ni mtoto wa Kiongozi mwingine wa CHADEMA bwana Mtei
lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?
Anajificha nini?
Mindhali Freeman ni public figure kama JK na mindhali anaweza kuwa rais wetu huko baadae si vibaya public na private life yake kuwa under scrutiny na bila kusahau what his wife has been up lately
Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.
Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??
Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?
Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?
Tunajua kuwa ni mtoto wa Kiongozi mwingine wa CHADEMA bwana Mtei
lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?
Anajificha nini?
Mindhali Freeman ni public figure kama JK na mindhali anaweza kuwa rais wetu huko baadae si vibaya public na private life yake kuwa under scrutiny na bila kusahau what his wife has been up lately
lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?
Anajificha nini?
Mzee Mbowe sio msemaji wa chama. Kuna msemaji wa chama yeye ndiye anayetakiwa kuzungumza yahusuyo chama.Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.