Mke wa Freeman Mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa Freeman Mbowe

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Game Theory, Dec 6, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Tunajua kuwa ni mtoto wa Kiongozi mwingine wa CHADEMA bwana Mtei

  lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?

  Anajificha nini?

  Mindhali Freeman ni public figure kama JK na mindhali anaweza kuwa rais wetu huko baadae si vibaya public na private life yake kuwa under scrutiny na bila kusahau what his wife has been up lately
   
 2. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeishasema ni mke wa freeman mbowe sasa shida gani inayokusumbuwa. kumbuka sio mke wa public kama ulivyolitumia neno hilo
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,455
  Likes Received: 19,826
  Trophy Points: 280
  wewe mbona hujaja na mke wako hapa
   
 4. b

  bnhai JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Duh hii kali.Why Mbowe peke yake? Unawafaham wake wa viongozi wa upinzani wote? Tukimfaham kuna jipya katika maendeleao ya Taifa letu?
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Lilian mtei mbowe.

  Ha ha ha ha.
   
 6. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Inabidi na mke wa lipumba, mrema, mbatia uwaweke hapa maana na wao wanataka kuwa marais..why mbowe peke yake ndugu?
   
 7. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkubwa kuna kitu unataka kutueleza nini....!?
   
 8. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.

  Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??

  Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?

  Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu hao wengine ni CCM kwa saaaaaaana.
   
 10. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wewe wasema....unaweza kutoa vigezo ulivyotumia kabla sijakuita huo ni u-mbeya
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha mimi au tabia? Wakati waandika ulikuwa unafikiri kilugha au Kiislaam?
   
 12. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wikend njema wakuu
   
 14. O

  Orche Senior Member

  #14
  Dec 6, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kila kitu na wakati wake, wakati ukifika utamuona tu. Mama Salma Kikwete ulikuwa unamfahamu kabla ya kuwa 1st Lady! Una haraka ya nini au una kitu unachotaka kusema, kuwa wazi.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Muache Dr, wa watu,

  mbona wewe ni maarufu sana humu JF na mkeo haji humu kuchangia?
  Mke wa Mrema je?, Mke wa lipumba?, wa maalim? wa membe?, wa Mbatia? wa MMM Mwanakijiji?, wa Invisible??

  Acha hizo GT uko juu zaidi ya hapo!!
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kubwajinga, hili ni swali zuri, kwani Kikwete ameshajitokeza kujibu mengi yanayoisulubu CCM?

  Maybe they have something in common!!! needs some similarities
  1. ...........
  2. ................
  3.
   
 17. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,533
  Trophy Points: 280
  GT, don't go too personal, huyu mama has her right to privacy, ni mtumishi wa umma and the brain behind the DJ Freeman, kama Mzee Mengi anavyokuwa modarated na another Lilian, behind every successiful man there is a woman, hawa Lilians wanafanya kazi kubwa sana behind public eyes, otherwise, hawa jamaa wangeshamess siku nyingi.

  Please leave their private life private, lets concetrate on public life.
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  pasco,hawa watu ni public figures...
  so jamii ina haki ya kujua wake zao ni watu wa aina gani.....

  ohhh dr lilian,na lilian yupi huyo wa mengi?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...