Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Tunajua kuwa ni mtoto wa Kiongozi mwingine wa CHADEMA bwana Mtei
lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?
Anajificha nini?
Mindhali Freeman ni public figure kama JK na mindhali anaweza kuwa rais wetu huko baadae si vibaya public na private life yake kuwa under scrutiny na bila kusahau what his wife has been up lately

Inabidi na mke wa lipumba, mrema, mbatia uwaweke hapa maana na wao wanataka kuwa marais..why mbowe peke yake ndugu?
Wewe wasema....unaweza kutoa vigezo ulivyotumia kabla sijakuita huo ni u-mbeyaKwa sababu hao wengine ni CCM kwa saaaaaaana.
Wewe wasema....unaweza kutoa vigezo ulivyotumia kabla sijakuita huo ni u-mbeya
Unamaanisha mimi au tabia? Wakati waandika ulikuwa unafikiri kilugha au Kiislaam?[/QUOTE]
wewe una tabia za umbeya wakati naandika nilikuwa nafikiri kikristo?
Tunajua kuwa ni mtoto wa Kiongozi mwingine wa CHADEMA bwana Mtei
lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?
Anajificha nini?
Mindhali Freeman ni public figure kama JK na mindhali anaweza kuwa rais wetu huko baadae si vibaya public na private life yake kuwa under scrutiny na bila kusahau what his wife has been up lately
Tunajua kuwa ni mtoto wa Kiongozi mwingine wa CHADEMA bwana Mtei
lakini mbona hatumwoni akifanya shughuli za kitaifa kama mkwe wa kiongozi wa upinzani ...yaani shughuli za akina mama?
Anajificha nini?
Mindhali Freeman ni public figure kama JK na mindhali anaweza kuwa rais wetu huko baadae si vibaya public na private life yake kuwa under scrutiny na bila kusahau what his wife has been up lately
Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??
Kubwajinga, hili ni swali zuri, kwani Kikwete ameshajitokeza kujibu mengi yanayoisulubu CCM? [/QUOTE]
Maswali mengine hayajibiki jamani acheni hizo. Hebu fikiria ukimuuliza kama fedha za mafisadi (Meremeta, EPA, Deep Green Finance, Mwananchi Gold, Richmond, Kiwira, etc) ndio zilizomweka madarakani unafikiri atajibu nini?

Its the same situation kwa Freeman, sema Freema yake madogo kwetu, ila kwake ni makubwa kama ya JK
GT, don't go too personal, huyu mama has her right to privacy, ni mtumishi wa umma and the brain behind the DJ Freeman, kama Mzee Mengi anavyokuwa modarated na another Lilian, behind every successiful man there is a woman, hawa Lilians wanafanya kazi kubwa sana behind public eyes, otherwise, hawa jamaa wangeshamess siku nyingi.
Please leave their private life private, lets concetrate on public life.