Mke wa Boss ananitega

Maisha yakikushinda achana nayo fanya vitu vingine.
 
Naona mizimu ya kuzimu yanakuandama ...soon jehanamu itakukaribisha..kimbia zinaa ndugu.
 
Ww umeshajtambua mapema,thats good for you...so sitegemei uje tena humu kudai umeshagegeda huyo mke wa boss wako
 
Hizo ni hisia zako tu na wala hakutegi bali wewe mwenyewe ndio unajivuruga akili. Kwani kuna siku amewahi kukuombia kuwa anakupenda au ni hisia tu kichwani mwako? hebu elekeza akili yako kwenye kazi na uache mawazo ya kishetani
 
Huyo mwanamke akikuamulia kweli kweli huchomoki.uendelee kupiga kimya kimya au akufukuzishe kazi.sasa hivi bado upo hatua za mwanzoni, muda bado
 
Usisahau kuleta mrejesho hapa pale utakapomgegeda,ukagundulika na kufumuliwa marinda,ila fahamu kua huyo anaweza akufumue ubongo badala ya marinda na huo mrejesho utaupeleka kwa shetani.
 

Mdogo wangu TAFUNA HIYO KITU, ila kuwa mwangalifu...
 
Wanasemaga haina ushemeji, deree veepee piga mzigo huo
 
Jamii forumns ime panuka sana na kuwa na watu wa kila aina.tofauti na zamani
 
Naomba namba yake nikusaidie Ndg yangu
 
Hii story yako ilitakiwa ije cku za mapumziko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…