Mke wa Boss aliwa uroda kiaina

Mke wa Boss aliwa uroda kiaina

kazikubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
597
Reaction score
151
Mke wa boss mmoja bahili amejikuta akiliwa uroda na kijana mahili wa mipango (Mtoto wa mjini) bila kulipwa hata senti moja. Hii imetokea karibu na sikukuu ya X-Mass ya 2012.

Kijana huyo alikuwa akimtokea huyo mke wa bosi siku nyingi lakini alikuwa akipigwa chini kwa sababu mwanamke huyo alikuwa na dharau sana na kumuona kijana huyo kama takataka fulani. Kijana wa mujini aliumiza akili akaja na mpango mkali wa kumng'oa mama huyo kama ifuatavyo:

  • Kwanza alitumia mbinu ya kumzoa yule boss na akafanikiwa kuwa naye jirani sana.
  • Akaomba mkopo kwa yule boss mpenda misifa, bila ajizi akapewa Sh. 3Million.

Katika kipindi cha urafiki wake na yule boss, aligundua kuwa boss na mkewe hawakuwa vizuri kutokana na tabia ya bosi kutothamini ndugu wa mke wake. Kwa kuwa X-Mass ilikuwa inakaribia, na ofisi ya mke wa bosi haikuwa na uwezo wa kulipa mshahara kabla ya sikukuu, mama alichanganyikiwa, alikosa jinsi ya kukidhi mahitaji ya ndugu zake hasa wakati ule wa sikukuu.

Mtoto wa mujini kwa kulijua hilo, alianza kumtokea tena yule mama, msimamo wake ulikuwa kama kawaida akagoma. Yule kijana akamwambia mama nikubalie mimi nina Sh.3M, nitakupa kwa kazi ya leo tu. Yule mama akakumbuka hitajio la pesa alilonalo, akaamua kukubali shingo upande.

Kijana akala ule mzigo na akampatia ile Sh.3m. Wakati mama akiwa njiani, mtoto wa mujini akampigia yule boss na kumshukuru kwa mkopo wa ile Sh.3M, akamwambia kuwa leo amelipa na amempatia mkewe amletee nyumbani.

Mama alipofika nyumbani tu, mzee akamwambia nipe ile sh.3M tatu uliyopewa na yule kijana, mama alichanganyikiwa alijuaje yule mzee, siri ime leak, yule mama akajiuliza akakosa jibu. Ilibidi atoe zile pesa ampatie mumewe na deni la msela likaisha huku akiwa amekula mzigo bureee.

Mama amechanganyikiwa anataka atoe hii siri kwa watu wa jirani na mumewe, shoga yake ambaye ni mke wangu akaniomba ushauri, nami nawaomba wana JF ushauri wenu ili tuiokoe hii ndoa maana akisema tu lazima talaka itanuka tu.
 
duu..mkuu hii kweli kiboko! bora huyo mama akae tu kimya maana kama atawaambia hao watu basi ndoa yake ndo itazidi kuwa nguuumu balaa!
 
Fix hii.
 
Kwa uwezo wangu mdogo wa kufikiri nimegundua hii ni fix
 
Hizi titles nyingine lol...mawazo yangu yalishaenda mbaaaalii!!
 
hii hadithi nilishaga isomaga zamani sana. Leteni hadithi nyingine ambayo ni mpya ya mwaka 2013
 
Mke wa boss mmoja bahili amejikuta akiliwa uroda na kijana mahili wa mipango (Mtoto wa mjini) bila kulipwa hata senti moja. Hii imetokea karibu na sikukuu ya X-Mass ya 2012.

Kijana huyo alikuwa akimtokea huyo mke wa bosi siku nyingi lakini alikuwa akipigwa chini kwa sababu mwanamke huyo alikuwa na dharau sana na kumuona kijana huyo kama takataka fulani. Kijana wa mujini aliumiza akili akaja na mpango mkali wa kumng'oa mama huyo kama ifuatavyo:

  • Kwanza alitumia mbinu ya kumzoa yule boss na akafanikiwa kuwa naye jirani sana.
  • Akaomba mkopo kwa yule boss mpenda misifa, bila ajizi akapewa Sh. 3Million.

Katika kipindi cha urafiki wake na yule boss, aligundua kuwa boss na mkewe hawakuwa vizuri kutokana na tabia ya bosi kutothamini ndugu wa mke wake. Kwa kuwa X-Mass ilikuwa inakaribia, na ofisi ya mke wa bosi haikuwa na uwezo wa kulipa mshahara kabla ya sikukuu, mama alichanganyikiwa, alikosa jinsi ya kukidhi mahitaji ya ndugu zake hasa wakati ule wa sikukuu.

Mtoto wa mujini kwa kulijua hilo, alianza kumtokea tena yule mama, msimamo wake ulikuwa kama kawaida akagoma. Yule kijana akamwambia mama nikubalie mimi nina Sh.3M, nitakupa kwa kazi ya leo tu. Yule mama akakumbuka hitajio la pesa alilonalo, akaamua kukubali shingo upande.

Kijana akala ule mzigo na akampatia ile Sh.3m. Wakati mama akiwa njiani, mtoto wa mujini akampigia yule boss na kumshukuru kwa mkopo wa ile Sh.3M, akamwambia kuwa leo amelipa na amempatia mkewe amletee nyumbani.

Mama alipofika nyumbani tu, mzee akamwambia nipe ile sh.3M tatu uliyopewa na yule kijana, mama alichanganyikiwa alijuaje yule mzee, siri ime leak, yule mama akajiuliza akakosa jibu. Ilibidi atoe zile pesa ampatie mumewe na deni la msela likaisha huku akiwa amekula mzigo bureee.

Mama amechanganyikiwa anataka atoe hii siri kwa watu wa jirani na mumewe, shoga yake ambaye ni mke wangu akaniomba ushauri, nami nawaomba wana JF ushauri wenu ili tuiokoe hii ndoa maana akisema tu lazima talaka itanuka tu.

Kuna siri gani tena mbona umeshasema tayari humu kwenye JF????
 
Hii inafaa kuwa riwaya, ongeza manjonjo kidogo, bonge la plot..

Halafu mwisho wake mama apate hasira wagombane na baba, amtajie siri, msela afukuzwe kazi.

Funzo, ujanja mwingi mbele kiza.

Baba alijiona sana, akafanya ujanja mwingi na kdharau ndugu za mama, akakutana na kiza cha ugoni wa mkewe.

Mama alifanya ujanja mwingi, wa kudharau watu na kumhadaa mumewe, akapambana na kiza cha kuingizwa mjini.

Huyo mfanyakazi naye amefanya ujanja mwingi, kamhadaa muajiri wake na mke wake, akakutana na kiza cha kufukuzwa kazi.

Poetic justice.
 
hongera kwa ku up date tarehe lkn story ya zamani saaaaaaaaaaaaaaaana hii?
 
kama ni kweli basi ni fundisho pia kwa wanaume, waache ubahili wa kupindukia hadi kwa wake zao.
Usipomtunza mkeo unategemea nani akusaidie kumtunza?? matokeo yake ndo hayo.......kumegwa na vijana au mababu kwaajili ya tamaa ya kupata hela.
 
Back
Top Bottom