Mke wa bosi na bosi wangu!

Bure ghali mkuu angalia, hata ukitaka kumkamata kuku utamdanganya kwa punje za mahindi n.k.Hebu chunguza kwanza mahusiano ya wa2 hao usije ukaingia katika matatizo usiyotarajia.
 
kALAGABAO KULA MZIGO ACHA PURUKUSHANI KIJANA WENZIO WANAZITAFUTA HIZO...JAMAA YAWEZEKANA HATUMIKI VILIVYO SO AKAAMUA KUCHONGA DEAL NA MY WIFE WAKE WAMTAFUTE MTU WA KUTOA DOZI YA MAANA NA WEWE NDIO WATOA DOZI...........ENDELEA NA MAAAKULI NA NAIROBI IMEPANGWA ILI ULE MZIGO VIZURI
 
Kama wamekubaliana utembee na Mke wake ... kuwa makini

Kama Mumewe anakutengenezea mazingira ya wewe kutembea na Mkewe kwa sababu hawezi kumpa haki yake ya ndoa

... Je yeye mumewe hamu zake binafsi anazimalizaje?

Angalia mbele ya safari na Mume asije kukuambia Um-Kamerun?

Haswaaaaaaaaaa ndo wanaelekea huko. Wewe umefikiria mbali zaidi. Ila ukweli ni kwamba wahindi wengi hapa mjini hawawezi ku do. Wanawatumia sana house boys kwenye kazi hizo. Ukiongea vizuri na houseboys wa wahindi watakueleza jinsi wanavyo washughulikia wamama wa kihindi na waume zao wakati mwingine hadi watoto. Inabidi jamaa ajiandae kuwa kamerun
 
hawa jamaa weupe wana vituko sana
ni kafara hiyo kuwa makini
siku ya siku utajikuta nawe unaliwa ili biashara yao iende vizuri
nakushauri uwe makini sana something wrong is gonna happen soon
 
hawa jamaa weupe wana vituko sana
ni kafara hiyo kuwa makini
siku ya siku utajikuta nawe unaliwa ili biashara yao iende vizuri
nakushauri uwe makini sana something wrong is gonna happen soon

Hahahaha! Vya bure gharama!
 
huyo bosi anutega ili uingie kwenye mtego tu....... halafu mie bado nashangaa wewe umeajiriwa km operation manager au driver, I dont think if u r opr manager unaweza kutumwa msosi kwa bosi unless mlikuwa karibu sana huyo bosi wako kazi.
Anyways vyovyote itakavyokua mie naona hapo kuna mtego ndugu yangu coz hiyo kitu hata kama jamaa hawezi game huwa ni vigumu kumruhusu hata mdogo wake wa damu iweje wewe?
Watch out guy
 
Kwa wazungu sio ajabu ila kwa mhindi noma! Sina uhakika uliposema muasia ila kama mhindi kuna jambo. Kuna rafiki yangu anaye mama mzee mmoja wa kizungu, huwa mumewe anampigia simu anamwambia Suzie wants to come to Tanzania from July this year. Please Donny take a good care of her! Kama familia ya Kihindi ikigundua mtoto tu wao anamegwa na ngozi nyeusi anahamishwa mji sembuse mke!
 
Ngoja mke wa bosi aje kuzaa mtoto mweusi ndo utakapoona mziki, cjui mtasingizia zeruzeru mweusi
 
Attachments

  • 18032012(002).jpg
    18032012(002).jpg
    207.1 KB · Views: 73
Kajibebesha cheo si chake...Oopsss.

Ndugu yangu fanya kazi kwa wahindi ndo utajua yanayotendeka! Yanayonikuta usidhani napenda bali nachojali ni kipato,ndo mana nilsema najihisi nabakwa! Na kutumwa ilikua ni mbinu za kuninasa nami nilinasika!
 
kALAGABAO KULA MZIGO ACHA PURUKUSHANI KIJANA WENZIO WANAZITAFUTA HIZO...JAMAA YAWEZEKANA HATUMIKI VILIVYO SO AKAAMUA KUCHONGA DEAL NA MY WIFE WAKE WAMTAFUTE MTU WA KUTOA DOZI YA MAANA NA WEWE NDIO WATOA DOZI...........ENDELEA NA MAAAKULI NA NAIROBI IMEPANGWA ILI ULE MZIGO VIZURI
Hio inaonekana hivyo! Ukweli nipo ktk mazingira magumu sana,ni kitu
natenda sio kwa ridhaa yangu!
 
Haswaaaaaaaaaa ndo wanaelekea huko. Wewe umefikiria mbali zaidi. Ila ukweli ni kwamba wahindi wengi hapa mjini hawawezi ku do. Wanawatumia sana house boys kwenye kazi hizo. Ukiongea vizuri na houseboys wa wahindi watakueleza jinsi wanavyo washughulikia wamama wa kihindi na waume zao wakati mwingine hadi watoto. Inabidi jamaa ajiandae kuwa kamerun

Mumewe ni over65-70yrs na mama ni kama 40-45yrs na hawana mtoto,mke wa kwanza alifari kwa ajali ya gari lakini pia hakua amezaa,wapo watoto wa3 wa ndugu zake lakini kila mmoja anakaa kwake ila tunao ofisini
 
Cha muhimu anza kujijenga kama. Ni kununuaa kiwanja, au kujenga nyumba anza maana wakikuchoka kazi yako itaisha mara moja.

Tumia wakati huu kujifaisisha haswa. Hata hiyo nyumba unapangiwa ukiachishwa kazi utaweza lipa?

Uliingia nmkingoni mwenyewe kukubali chakula na kulala nae. Duh kazi unayo bosi anakuona kama **** vile ukidhani hajui unachofanya na mkewe.

Ila kuwa makini na maisha yako pia magonjwa etc na kujilindam msumulie mtu wako japo mmoja na uwaonyeshe wapi unaendaga etc.

Haya jijenge.
 
Jipange kamanda ujue hatma yako itajakuwaje lazima kuna kitu zaidi ya hiyo issue tu!!mzee hana kisukari kikali sana?ukute wamekubaliana wewe unatumika kuleta heshima nyumbani oooh...mapaa yanaficha mengi
 
Back
Top Bottom