Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,745
- 27,469
Na wewe ni joka huna huruma.Msaidieni mwanaume mwenzenu!
Utaji eneo mwandish mpya ww wa lile gazetKama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka!
Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu..
Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu.
Akaachishwa kazi..akawa mzigo kwenye familia..mkewe akaanza dharau ikiwemo kumpiga na mwiko, kumvuta sehemu nyeti ikiwa ni kumkomoa kwa vile tu aligoma mkewe asiuze nyumba yake hii anayoishi..hajui nyumba zingine na mali zake mkewe kazifanyaje.
Mke akazunguka akahonga serikali ya mtaa na mahakama, polisi wenye mitutu wakamvamia..akalia akisema niueni sitoki..majirani wakamsaidia..anasema hata watoto hawamtaki.
Anadai anavumilia mengi kama mwanaume lakini anaomba haki ya nyumba tu ya kuishi hana kwa kwenda kwasababu haoni..
Hapo amepata nafasi ya kusema haya yote mbele ya waziri mkuu..
View attachment 3602995
Mama mwenyewe nowdays simwamini.Mke sio ndugu yangu, maana mda wowote pia anaweza akawa mke wa mwingine wewe ukawa shemeji hata kama mna watoto. Ishi ki master sana na kiuumbe kinaitwa mwanamke.. Wakumpenda na kumuamini ni mama yako tu
Oya kuna kitu umenikumbusha hapo ila niseme tu Mwanaume atabaki kua Mwanaumebasi mwanamke ni joka!
Mama gani humwamini huyo mama mzazi au wa kufikia au wa kambo?Mama mwenyewe nowdays simwamini.
Kupat nyumbMsaidieni mwanaume mwenzenu!
Hio "huko D" ndio nini?
D nikifupi cha DadHio "huko D" ndio nini?
Tena joka kuu! Sina hata kidogo!Na wewe ni joka huna huruma.
Wewe mwamini mama yako kama wbaadhi wanavyowaamini wake zao na maisha yanaendelea buddahMama gani humwamini huyo mama mzazi au wa kufikia au wa kambo?
Sawa mkuu, wengine tumebakiza mama, wanasema zimwi likujualo haliwezi likakula na kukumalizaMama mwenyewe nowdays simwamini.
Tena joka kuu! Sina hata kidogo!
Nakutamani.Tena joka kuu! Sina hata kidogo!
Mi naona rahaaaa🤣🤣Wazala inaonekana mmepigwa sana na Wanawake aisee kila kukicha ni ushauri tu.
Andika vizuri wengine ni wazee humuKupat nyumb