Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
Things change.....get ready....
Mkuu KikulachoChako umepotea mbaya...au ulikuwa unahakikisha ulinzi wa lile goli la kiganjani la hawa jamaa?
Last edited by a moderator:
Things change.....get ready....
Bado hajafikia hatua ya kupelekwa polisi.
Yani binadamu hatupendi kusikia taarifa nzuri za ndoa. Tunataka tusikie mabaya tu ya ndoa ndo roho zetu kwatuuu. Mtu akishukuru kwa ajili ya ndoa yake, utasikia tu "ndoa yako ina muda gani ", " subiri baada ya miaka 5 tuone " eeeeh. Mwaego shukuru tu kwa ndoa yako hata kama ina mwezi. Kuna watu wanaoana asubuhi jioni ndoa chaliii. Majaribu ni kawaida tu hata kwa ambao hawapo kwenye ndoa. Na asiyeshukuru kwa kidogo hata kwa kikubwa hatoshukuru. Mbarikiwe mwaego
Amen mpendwa,Umeona ee,humu mwenzangu hawataki kuskia mazuri ya ndoa.Ukionesha kwamba ndoa ina raha wanaanza kukutabiria mabaya.Hivi furaha ya watu ni ndoa kuvunjika eti.Mungu azidi kutupigania wanandoa wote.
Tanga wapi ndugu yangu hukuhuku kwa wapenda pesa kwanzaaa
sasa wasiwasi wa nini sasa ndoa ni kutimia akili za kichwani na kuipeleka kama biblia inavyotuambia kwamba mwanaume ni kichwa cha nyumba na mkewe amheshimu baasi ila mkiingiza maigizo ya filum za kikorea lazima muone ngumuZipo raha za kua ndani ya ndoa lakini pia usiwashauri tu ambao hawajoa kua waoe eti kwa sababu ndani ya ndoa/ kua na mke ni raha.
Zipo karaha na vitimbi vya ndani ya ndoa ambavyo huwakuta wanandoa wengi zaidi.
Ni vyema kama ungeweka Raha na Karaha zipatikanazo ndani ya ndoa ili huyu unayemshauri ambaye bado hajui ndoa ni nini awe na uhuru mkubwa wa kuamua, je aingie kwenye ndoa au La!
subiri bado muda wa kulia
acha kabisa hyo kijineno ina raha sana sometimes hata mtu anakuambia samahan hamaanishi lakini unajikuta umeanza kulegeza mnunoo,
kuna ile mtu anakusogelea hata kama umenunaje anakushika mkono anakutizama kidogo kama dakika moja then akuita jina lako, mke wangu, mpenzi n.k then anasema nisamehe/ naomba unisamehe najutia hili kosa sikustahili kukufanyia hivi najisikia moyo unajuta, tehtehteh akiona unazingua bado anakukumbatia closeeee anaongezea nisamehe please naahidi kujirekebisha aaaahhh weee utaishia tu alafu mi thipeendi unaniuzigi kama nini kwanini ulifanya hivyo niache huko wakati ushajichekesha tehtehteh( siri hyo nmewapa)
Kama ya kwako.si wataombana msamaha. acha kumtishia bhana ndoa ni tamuuu
Zipo raha za kua ndani ya ndoa lakini pia usiwashauri tu ambao hawajoa kua waoe eti kwa sababu ndani ya ndoa/ kua na mke ni raha.
Zipo karaha na vitimbi vya ndani ya ndoa ambavyo huwakuta wanandoa wengi zaidi.
Ni vyema kama ungeweka Raha na Karaha zipatikanazo ndani ya ndoa ili huyu unayemshauri ambaye bado hajui ndoa ni nini awe na uhuru mkubwa wa kuamua, je aingie kwenye ndoa au La!
Mmmmhhhh.... hongera