Kwakwel neno nisamehe litoke kwa m'ume n kibarua kizito.. Ndio hapo minuno inaanzaga !!
acha kabisa hyo kijineno ina raha sana sometimes hata mtu anakuambia samahan hamaanishi lakini unajikuta umeanza kulegeza mnunoo,
kuna ile mtu anakusogelea hata kama umenunaje anakushika mkono anakutizama kidogo kama dakika moja then akuita jina lako, mke wangu, mpenzi n.k then anasema nisamehe/ naomba unisamehe najutia hili kosa sikustahili kukufanyia hivi najisikia moyo unajuta, tehtehteh akiona unazingua bado anakukumbatia closeeee anaongezea nisamehe please naahidi kujirekebisha aaaahhh weee utaishia tu alafu mi thipeendi unaniuzigi kama nini kwanini ulifanya hivyo niache huko wakati ushajichekesha tehtehteh( siri hyo nmewapa)

mwaju we wa TANGAAAAA nn
Bado bado.. Katika hatua za Ndoa hapo ndio mpo katika mwisho Wa hatua ya kwanza.. Hatua ambayo mnakua na Mapenzi ya Motoooo.. Hilo Ni tera, Picha Linafata Hatua ya Pili... Utajutaaaa