Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
AH WAPI! mi mwenyewe kishanuka huko ndo maana nimejikuta tu Hapa jf usiku wote huu,
baada ya muda mfupi utakuja na part 2 ya uzi huu itaKAyosomeka
SIOI TENA!
Haaa mkuu kafanyaje wako
AH WAPI! mi mwenyewe kishanuka huko ndo maana nimejikuta tu Hapa jf usiku wote huu,
baada ya muda mfupi utakuja na part 2 ya uzi huu itaKAyosomeka
SIOI TENA!
Bado bado.. Katika hatua za Ndoa hapo ndio mpo katika mwisho Wa hatua ya kwanza.. Hatua ambayo mnakua na Mapenzi ya Motoooo.. Hilo Ni tera, Picha Linafata Hatua ya Pili... Utajutaaaa
Kuna watu wana bahati maishani.neno samahani huwa nalipenda sana , yaani nkishaambiwa nisamehe mke/mpenzi/mamawatoto/ mpenzi wangu yaani kama sio danger days naishia kumpa game kama ishara yakudhibitisha nmemsamehe
Napenda kuwaasa wale ambao hamjaoa muoe muone jinsi maisha ya ndani ya ndoa yalivyo matamu manaishi kama watoto wadogo vile hahahahahah.
Mpaka muda mwingine najikuta nacheka na mapenzi kwa mke wangu ndo kwanza wanaongezeaka daily.
Tunagombana mke ananua kitandani mnabembelezana mambo yanaenda dah!
Unakasirika unaombwa msamaha mambo yanaenda kama kawaida.
Nakanusha ule usemi wa ndoa ndoano.
MWAKA WA SABA HUU WEWE NIMEPATA MKE SIO DUNGAEMBE MORE THAN 7YEARS HIYO KABLA HATUJAOWANA . Na UKIWA NA NEGATIVE MAWAZO LAZIMA YAKUKUTE KWELI
Time will tell
acha kabisa hyo kijineno ina raha sana sometimes hata mtu anakuambia samahan hamaanishi lakini unajikuta umeanza kulegeza mnunoo,
kuna ile mtu anakusogelea hata kama umenunaje anakushika mkono anakutizama kidogo kama dakika moja then akuita jina lako, mke wangu, mpenzi n.k then anasema nisamehe/ naomba unisamehe najutia hili kosa sikustahili kukufanyia hivi najisikia moyo unajuta, tehtehteh akiona unazingua bado anakukumbatia closeeee anaongezea nisamehe please naahidi kujirekebisha aaaahhh weee utaishia tu alafu mi thipeendi unaniuzigi kama nini kwanini ulifanya hivyo niache huko wakati ushajichekesha tehtehteh( siri hyo nmewapa)
Bado bado.. Katika hatua za Ndoa hapo ndio mpo katika mwisho Wa hatua ya kwanza.. Hatua ambayo mnakua na Mapenzi ya Motoooo.. Hilo Ni tera, Picha Linafata Hatua ya Pili... Utajutaaaa
Hujambo? Long time no see.
Usimtishe bwana, ndoa ni ya wawili ujue, hatukatai kuna ups n downs bt still its a good thing, tatizo wengi pia huangukia mikononi mwa machaguo ya wenzao so lazima pawe na shida tu!