Huu msemo huwa unanitatiza sana kwa nini mwanamume anaambiwa awaache baba na mama yake aambatane na mkewe ndio maana wazazi wa mke bado wanakuwa benet kwenye ndoa ya mtoto wao au vipi embu baelezee
Nafikiri hii inatokana na tofauti ya kisaikolojia zaidi
kati ya mwanamke na mwanaume.
Kimsingi (primal level) kwa mwanamke kujenga
mahusiano ni muhimu wakati mwanaume kujenga
himaya ndiyo kitu muhumu.
Mwanamke japokuwa anakuwa ameolewa yeye
anauwezo waku-maltitask familia yake na ile ya
kwao, pia hupenda kuendeleza uhusiano na
familia iliyomlea kwa miaka mingi.
Kwa mwanaume kujenga mji wake ndiyo kitu
muhimu kule alikotoka mmiliki wa ile himaya ni
baba yake. Yeye akishaoa huwa hana lake kule
zaidi ya kusaidia kama kuna matatizo.