Mke ni 'kiburudisho cha mume'?


Upo sawa kiasi flan hasa ki-mapokeo, ila kumbuka hakuna chuo au certificate ya best perfamance ya tendo la ndoa.

Nimejiita mwalimu na wangu Preta nikamwita kocha! Lengo ni kujenga taswira nzima ya umuhimu wa kufundishana yale ambayo mnaona yanadescribe best performance na satisfaction ya tendo la ndoa. Mjue hakuna anayefundishwa toka huko atokako, sharti mmoja awe kocha na mwingine mwalimu ili mambo yaende sawa, ni upuuzi kujifanya mjuzi nje wakati kwako kunadoda! If u don do it, others will do it 4 u!! Imajini, unamlisha, unamvalisha, unampamba unampigisha gold, halafu wenzako waoneshe ufundi kwenye kiwanja chako, lazima utakuwa *****!!!

Hayo ya kuogopa kuulizwa ni ya kizamani, mi nkipata BLUE kali, kwanza natabasamu, navuta pumzi namshika mkono Preta wangu, naendanae kwa chumba, nawasha deki na tv, then naweka hako ka blue, pazuri nastop, tunapractise tukiweza tunaenda next episode. Mbona Preta mi hajawahi nikoromea! tena juzi tu yeye ndo alikuja na moja ya kibongo bongo wala sijamkoromea! Nakupenda Preta
 

Unachoeleza hapa ni very true theoretically, but practically tutakuwa tunadanganyana au tunajidanganya mkuu, believe me... Hakuna mpnz yasiyo na ladha, kama mtu akufanyie kitu ambacho ni wewe umemfundisha. Ndo maana kila siku nawashangaa wanaosema kuwa mtu amfundishe mwenzie stail... It doesnt work

SWALI LA KIZUSHI; Kwa assessment ya avatar, wewe na preta naona kama wote wadada... Is it not?
 
Nimependa hapo kwenye viwavi jeshi.

Haya mambo ni foolishness.

Nimetoka kumuangalia Shwaziniger (jina lake gumu nadhani utakuwa umeshamjua yule mcheza filamu na ex governor) anahojiwa na Morgan CNN; anasema anajutia kumchiti mkewe...na ana hope one day watarudiana na Maria...

Anaulizwa kwa nini ulichiti? Hukufikiria madhara yake baadae...anasema hakuwa anafikiria chochote. He was just stupid. Lakini Maria ni the most perfect woman of his life (kama nime m quote vizuri). Ila hajuhi kama watarudiana kwani hawezi kumsemea Maria. Ila yeye hiyo ni wish yake.

Morgan anamuuliza sasa wewe ulivotembea na house maid ni kwa kuwa ulijua itakuwa ngumu kugundulika kwa kuwa ni mtu wa ndani au? Anasema sina jibu I was just stupid and was not thinking of anything.

Nikajisemea kimoyo moyo...kitu kina thamani ukikipoteza eeh. Wakati anafungua zipo hakujua kuwa Maria ni perfect mpaka amefikia kuzaa na maid. Bado tu alikuwa afikirii chochote kuhusu outcome ya kutembea nje.

Je ni kweli wanaume mnaotoka nje akili inakuwa haifikirii chochote kuhusu madhara yake na ni kweli mnafikiri kutumia kichwa cha pili? LOL.

Maana hizi interviews za hawa mastaa zimenifanya nianze kukosa imani na hii jinsia ya 'me'.



 

Kusema hakuna alichokuwa anafikiria anatudanganya/anajidanganya...
Ubongo ni sawa na kitabu (chenye kurasa nyingi), unachowaza sasa na misimamo uliyo nayo sasa, ndio page iliyofunguliwa sasa... Siku nyingine itafunguliwa page nyingine, na itakuwa na stori tofauti, tena inaweza kukana kilichosomeka kwenye page iliyokuwa imefunguliwa siku nyingine...
Ninachotaka kusema hapa ni kuwa, brain can not discuss itself... as long as a man is controlled by brain and as long as the brain is controlled by the environment, expect expect unexpected DOs from a human being
 
Nimekutana na hali hiyo mara nyingi, nafanya kazi kwenye kampuni fulani hapa Dar wafanyakazi wote wanakunywa pombe isipokuwa mimi vinywaji navyopendelea ni vinywaji laini kama redbull kila mara napokutana na jamii mpya inaniuliza 'wewe ni mlokole?huvuti sigara?dah inaelekea we kwa madem noma' aisee hata GF wangu nae ananiuliza hivyo hivyo eti wanaume wasiokunywa pombe ni hatari kwa wanawake, daah noma kwelikweli
 
Thanx kwa mchango
umeelewa mno mada yangu

sasa swali hapa ni hili......'mke anatosha kuwa burudani kwa mume'?
boss nasikitikika sana nimeuona uzi huu siku 3 baada ya kuueka hapa na nimepitia koment zote 18 hapo juu.

naona nianze kujibu swali hili:-

maisha ya wife and husband yalitegemewa yawe ni complete package isiyo na mapungufu hasa when it comes to pleasure of making love. Kusudio la kuwa two as one is for each other to satisfy his/her partner bila tashwishwi yyte ile.

like yale ambayo kwenu mnajua ndio furaha yenu basi you will take it that way. kuna wengine burudani na kiburudisho kwao iko kwenye kufanya kwa namna yyte ile iwe ni bj ama wereva but mwisho wa siku wote wana enjoy. kuna couples ambazo kwao getting down inside the car, ama kwenye beaches ni sahihi na raha sana lkn wapo wengine hlii hawaliwez simply jinsi walivyouzwa ama walivyozoea.

kwangu mimi naafiki mke ndio kiburudisho pekee cha mume na mume ndio kiburudisho pekee cha mke. taboo kubwa kati ya zote ni sodomy tu kwangu mimi.
 
Last edited by a moderator:
Huyu unayemzungumzia hapa ni mke wa ndoa au hawara? Mimi ninavyofahamu ndoa ni taasisi ya heshima sana ambayo inatakiwa kuheshimiwa na pande zote. Ninachofahamu ndoa inaongozwa na kitu kinachoitwa UPENDO. Kama kuna upendo katika ndoa kila kitu kinawezekana. Hapa hakuna suala ni nani ni burudani kwa mwingine kwa sababu sielewi ni kwa vipi mwanamke anaweza kuwa burudani kwa mwanamme lakini yeye asiwe ameburudika labda kama ni ubakaji. Unajua hapa ndio pale ambapo wanaume wengine wana mawazo mfu ya kuona wanawake kama vyombo vya starehe tu. Hakuna starehe kwenye ndoa kama hakuna maelewano ya mke na mume katika masuala ya mapenzi. Halafu ni lazima tuwe wakweli; hivi kweli mke wako unaweza kuzungumzia habari za threesome? Ni lazima kuwe na mstari kati ya malaya na mke wa ndoa. Na hiyo threesome kwa mkeo inafanyikaje?
 
kabla hapajachimbika, ataanzia wapi kwanza ku-suggest hayo mambo?
 

Mkuu, mbona unakuwa mmimi sana, weye wamfanyia nini yeye jamani?
 

Usidhani kila jambo ambalo wewe huwezi na watu wote hawawezi. Nakubaliana kabisa na Ramos. Je mke wako na yeye akienda kutafuta hizo staili mpya huko nje na yeye we ytakuridhika??? Ndio maana kile unachotaka ufanyiwe na mkeo mfundishe na pia ruhusu na yeye akufundishe kile anachokijua usifikiri wewe tu ndiye unayejua. Kwani wewe ulijifunzia wapi? Chuo gani mwenzetu ulijifunzia na kiko wapi? Let us be fair to our lovers.
 
kabla hapajachimbika, ataanzia wapi kwanza ku-suggest hayo mambo?
Hahahahahaha,Hawa vijana wa siku hizi hawakosi pa kuanzia. Unweza kupewa hata link + picha zinazotembea na mnato!!
 

Karibuu
Je unaonaje wale ambao wanaona mke sio kiburudisho bali mke
unapaswa 'kumheshimu zaidi'?
 


Inawezekena wwe hujamuelewa Arnold SCHWARZENEGGER...
Kwa wazungu kuongea in public ni lazima kuendane na public perception
sasa yete hawezi kwenda in piblic na kusema 'sijutii'
its called 'PR'
 


ulivyosema hiyo 'umalaya ulioruhusiwa' natamani wadada wachangie hiyo point...
 
Karibuu
Je unaonaje wale ambao wanaona mke sio kiburudisho bali mke
unapaswa 'kumheshimu zaidi'?
boss hapa nina majibu katika milango tofauti sana ila labda niya samarizi kwenye haya hapa.

huu ni mfumo dume ambao umejengwa katika misingi ya ubabe na ya kutaka recognition zaid kuliko kutenda kwa upendo, busara na heshima ili haya yakuletee heshima unayoitaka.

to me when making love hakuna heshima hapa najiachia to the fullest tena with joyful ili niweze kuattain maximum pleasure from what we are doing. baada ya hapo nikiwa nje napaaswa kuheshimu as you are ma hubby and am your wife.
 
Last edited by a moderator:

Na ungepata mume ambaye
'ana heshima sana chumbani kwa mkewe' unngefanyaje labda?
 
ulivyosema hiyo 'umalaya ulioruhusiwa' natamani wadada wachangie hiyo point...

hivi wajua kwanii kasema umalaya uloruhusiwa? kimsingi wakati mwali anafundwa huambiwa yale ya chumban katika nadharia ya heshima sana tena huambaiwa mengi sana juu ya kumfurahisha mume( old days). sasa siku hizi wachache wamebadilisha yaani utakuta yale ambayo malaya hujifunza ii wafurahie kazi yao na walioko ndoani nao hujifunza hayo hayo. sasa hivi ndani ya nyumba za watu wenye ndoa utakutana na staili nyingine hadi zenye kunajis nyumba ili tu wapeane raha. hakunaga kujivunga ukitaka kupata ile raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…