unajua iko hivi........haya mambo ya nini ufanye nini kinakuridhisha na nini usifanye au hakimridhishi mwenzio huwa haiji siku moja tu hivi pap!no!ni blend ya mambo mengi sanana hayo yoote yalianza day one ya ndoa au after years ulijifunza vitu vipya?
unajua iko hivi........haya mambo ya nini ufanye nini kinakuridhisha na nini usifanye au hakimridhishi mwenzio huwa haiji siku moja tu hivi pap!no!ni blend ya mambo mengi sana
1.trust
vile unavyozidi kumuamini mwenzio ndivyo unavyozidi kujiachia kihisia huwezi kuwa na mtu usiye muamini ukabwaga mwili wako aufanye anachotaka
2.confidence
kuhiachia kihisia kunakwenda na kujiamini wewe mwenyewe na kuamini mwenzio anavutiwa nawe,kwa mfano huwezi kuwa free kufanya 69 kama hujiamini maumbile yako,huwezi kufanya stripping kama unajihisi humvutii mwenzio kingono,one has to be confident kuweza kuvua pichu yake na bra mbele ya mpenzi wake,as yu stripping inatakiwa kuwa kwa pooouuz sio sha sha pichu chini ushaingia kwenye shuka !
3.knowing the partner
hili nalo ni la muhimu sana kwenye field,mtu kujiachia kihisia kiasi cha kuridhika na kuridhisha mwenzi kunaletwa pia na kufahamu aina ya mwenzi uliyenaye,na hili ni kujuana ndani kabisa!yan not the thing ya huyu jina lake amina au huyu jina lake said,its more than that,kumjua mtu wako kunakupa fursa ya kujua anapenda nini,nini ufanye akuone wewe ni starehe nini ufanye akuone we ndo kidume,sasa hili haliji kwe kufika tu kwa bed na kuanza kufanya lile tendo,no!
4.knowing ur pontentiality
unajua nini,kipi unakimudu zaidi,kipi ndicho uwezo wako kwa kiasi kikubwa,kipi unaamini unakifanya kwa umakini na hujawahi kujisikia mnyonge kukitumia.huli nalo la msingi sana so nalo huwezi kuliapply the very day umeanza kujua huyo mtu ana kovu chini ya takkooz,mwanzo laweza kuwa nimelitest tu then akinogewa ndo unalitumia kama silaha ya maangamizi,if it by rubbing the gap ndo mtu anakuona uko vizuri why not applying it wen necessary?
5.creativity and productivity
love making kwangu ni biashara i see,(i mean business wen dwin it)mi maswala ya utani kazini sipendi!ni biashara ile na lazima inilipe!sifanyi bishara nikijua ina hasara,sifanyi biashara nikijua mazingira ya duka hayavutii mteja,sifanyi biashara ya bidhaa ile ile kila siku,sifanyi biashara ambayo mteja anajua akikosa kwangu kuna duka lingine linauza,nafanya biashara ambayo na mteja wangu anajua bidhaa hiyo it is me who knows how to pack it well,it is i who give a bonus,it is i who share the profit,it is i who provides a good customer care,it is i who never sells the goods to other customers,it is i who never compromise with the quality of the product!
so yote haya hayakuja siku moja kwa kweli it took me miaka kibao kufika hapa kihisia!
speechless
Hii topic inaweza kuwa ngumu kidogo tukisahau kuwa, Mume (sina hakika na mke), haendi kucheat na mwanamke mwingine kwa sababu mkewe amechoka, au sio mzuri tena, au atakayechit naye ni mzuri zaid au vyote... Lazima tujiulize ni kwa nini siku mme akiwa hana mudi na mkewe kabisa na hata akijitutumua itachukua madakika mengi jogoo kuwika, akipigiwa simu na ka-kimeo ka nje kuwa 'njoo ule' njia nzima suruali imetuna?
hivi na wanamme nao wanafanya stripping na lap dance?
Je, wamme wako tayari kuwafanyia wake zao? Au ndo na wanawake wanafuata kwa vidumu?
Leo nimeona tuzungumze kitu hiki ambacho nimekiona mahala..
Wanawake weengi wanasema au wanataka waume zao
wa demand na kupewa 'mahitaji yoote' ya sex na burudani za kingono kutoka kwa wake zao...
utasikia wanawake wakisema 'nitakupa au kukufanyia chochote utakacho'
au uutasikia wakisema 'si mwambie au mfundishe mkeo ili akuridhishe'....
Sasa kwa wanaume weengi mara nyiingi huwezi sikia 'wakiwazungumzia wake zao'
ki 'burudani zaidi' most of time mke atazungumzwa 'kiheshima' na kama kuna mazungumzo
ya 'burudani za kingono' mostly utasikia wanaume wanataja 'vifaa vya pembeni' kama reference...
Sasa hapa ndo nilipoona kuna kitu cha kujadili.......au kuulizana
maswali yangu yako hivi kwa wanaume na wanawake wa jf.....
kwa wanaume 1.mke unaona ni sahihi kuwa na uhuru wa burudani kwenye sex?
2.mke anatakiwa kukupa burudani zoote utakazo hitaji?wild sex?anything on the menu?
3.mstari wa kumheshimu mkeo na hapo hapo alkuburudishe kisawa sawa ukoje?
4.je kuna vitu kwa mkeo ni marufuku lakini kwa pembeni ni fair game?
Kwa wanawake 1.mke unatakiwa kumpa burudani yeyote atakayohitaji mumeo ili aridhike?
2.mstari wa yeye kukuheshimu na still umpe burudani atayotaka uko vipi?
3.unafikiri mke na mume 'wawe na mipaka kwenye sex'? ipi hiyoo?
Je kama mumeo 'anatoka nje kutafuta burudani' ambayo wewe 'anakuheshimu sana' hataki umpe
utapenda kutatua tatizo hilo vipi?ufundishe uweze?
baadhi ya burudani ambazo watu huzitafuta lakini unaweza kukuta kwa mke hawazi demand
1. lap dance
2.striping n tease
3.threesome..
4.sex on the beach,public spaces n.k...
5.na zingine mtakazoziongezea.....karibuni......
The Boss nimeikutia mada mkiani..but sio issue ngoja nimwage nondozz zangu!
Kikubwa ninachokiona mimi kwenye suala la ufanyaji mapenzi kwenye ndoa ni 'namna mnavyochukuliana toka day 1'..
Kwa mfano kuna wanawake wengi wamekuzwa kwenye mazingira ya kuliona tendo la ndoa as a decent act.. hata baadhi ya styles zingine tuza kawaida hawawezi kufanya..kwao 'cockroach killer' ndio kila kitu...Wamejijenga sana kuliabudu tendo la ndoa na kuliona kama takatifu na linatakiwa kufanywa in a humble way..Huwa huwezi kuwaletea habari hzi za lap dance, striping and tease,sucking sijui threesome nakadhalika..lazima wakukimbize!
Lakini kuna wengine mapenzi wanayafanya kama 'umalaya ulioruhusiwa'..these people can negotiate which way to go and which sex type to undertake..Simaanishi watakupa everything but wako tayari kujifunza matendo mapya ya ngono na sex kwa ujumla..na daima hawaongozwi na kusema nimfurahishe mume ila na wao pia wanajiweka kwenye position ya kufaidi.They can sometimes even be initiators..with new techniques often.. Kosa linalofanyika mara nyingi kwenye ndoa ni ile dhana ya 'nimfurahishe'...ukishkuwa na mentality hii utakuwa unaona sex ni mzigo na huwezi kufurahia tendo. With these women as a man i bet at least huwezi kuitafuta hii huduma mbali u can get it from within...
Na lazima utambue mkiwa kwenye ndoa unamsoma mtu wako..na kwa bahati mbaya tukatae tukubali baadhi ya wanawake anaweza kukubali tu kukufanyia kitu fulani in a sake kwamba unapenda and it is not kwamba na yeye anapenda..so, as u said kuna baadhi ya huduma itabidi tu zitafutwe nje..though unajua hata wife angekuwa na uwezo wa kuelewa angekupatia...
Nitakualika kwenye bridal shower yangu maana nina mpango wa kumuhire The Boss aje astrip for us. LOL
Utasikia wanawake wakisema 'nitakupa au kukufanyia chochote utakacho' au uutasikia wakisema 'si mwambie au mfundishe mkeo ili akuridhishe'....
Sasa kwa wanaume weengi mara nyiingi huwezi sikia 'wakiwazungumzia wake zao' ki 'burudani zaidi' most of time mke atazungumzwa 'kiheshima' na kama kuna mazungumzo ya 'burudani za kingono' mostly utasikia wanaume wanataja 'vifaa vya pembeni' kama reference...
Kwa wanaume:
1. Mke unaona ni sahihi kuwa na uhuru wa burudani kwenye sex?
2. Mke anatakiwa kukupa burudani zoote utakazo hitaji? wild sex? anything on the menu?
3. Mstari wa kumheshimu mkeo na hapo hapo alkuburudishe kisawa sawa ukoje?
4. Je, kuna vitu kwa mkeo ni marufuku lakini kwa pembeni ni fair game?
Baadhi ya burudani ambazo watu huzitafuta lakini unaweza kukuta kwa mke hawezi demand
1. Lap dance
2. Striping n tease
3. Threesome..
4. Sex on the beach, public spaces n.k...
5. Na nyingine mtakazoziongezea...
Karibuni......
1.trust
vile unavyozidi kumuamini mwenzio ndivyo unavyozidi kujiachia kihisia huwezi kuwa na mtu usiye muamini ukabwaga mwili wako aufanye anachotaka
Wamejijenga sana kuliabudu tendo la ndoa na kuliona kama takatifu na linatakiwa kufanywa in a humble way.
ni kweli kwamba wanawake ni viburudisho (we used to call them that in uni), but mambo aliyoyataja The Boss kwenye post #1 yako hasa kwa vijana wa leo. for wale walioishi zaidi au kupitia unyago sioni wakiiga haya mambo, yaani mama Kongosho au FP aombwe 3some patachimbika siku hiyo lol.
lastly Kaunga naomba kuja kwenye hiyo b.shower as mlinzi :biggrin:
Umeanza kutiririka vizuri...umefika mwisho umeniacha soremba hata sijuhi ulichotaka kusema...au ulitaka kuuliza?
Tupe jibu la hiyo siri hapo kwenye bold. Maana inaonekana kama una clue.
Je hiyo ina apply kwa wanawake pia? Kuwafeel vidumu zaidi ya mume???
Ila for me 'God forbid' baba nanii hayumo kwenye hilo kundi. Lol.
Baadhi ya burudani ambazo watu huzitafuta lakini unaweza kukuta kwa mke hawezi demand
1. Lap dance
2. Striping n tease
3. Threesome..
4. Sex on the beach, public spaces n.k...
5. Na nyingine mtakazoziongezea...
Karibuni......
Sijui wanawake mnapiga stori za namna gani but wanaume sometimes tunapiga stori zinazohusu mambo ya unyumba in general... Ndo hapo kama ni watu wa karibu utasikia mmoja ana-low sauti kwamba "Dah, yaani siku izi mi sijui imekuwaje... maana nikiwa msela ilikuwa nikikamata demu naweza hata kupiga vitatu mfululizo...! but siku hizi yaani appetite tena home inakuja baada ya siku kadhaa... ila kinachonishangaza bwana unakuta mtu huna appetite hom... ila siku ukipiga kagem ka nje,,, dah, yaani unashngaa sijui nguvu zinatoka wap!... tena cha kushangaza unaweza kukuta kagem kenyewe wala sio kazur kama wife... alafu huko hata utam sio kiviile maana unavaa na mikondom"... Hapo wanaume 'wote' unakuta wanakubaliana na hyo hoja, na kinachofuata ni kujadili nini kinasababisha labda iwe hivyo. Kwa hiyo nyumba kubwa mi hapo nimekupa siri kama ulikuwa hujui kinachoendelea kwa wanaume... labda nikuulize kwenu kinamama mnavyoongea huko saluni kuhusu vidumu, inakuwaje? Na nyie 'appetite' ya hom sio kubwa kama ya kwa kidumu au? Sio lazima ujiongelee wewe (na hapa sijajiongelea mimi pia), but kwa experience yako, zipi ni tofauti kati ya feelings za home na za nje kwa wanawake?
Mkuu huli ni suala la kisaikolojia zaidi, ......na naamini hata wanawake wanaokubali kuchepuka wanakutana na mambo kama hayo...Muziki lazima utakuwa tofauti na ule wa nyumbani....Kila matu anataka kuprove kama kweli "hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe??"!!Hebu jiulize, kwani watoto ambao wanasumbua kula chakula nyumbani kwao wakienda ugenini wanakula kama viwavi jeshi??Babu DC!!
Kabisa ni tendo takatifu, hivyo ni jukumu la wanandoa wenyewe kuutafuta, kuufurahia na kuudumisha huo utakatifu!!Yep nakubali kabisa inabidi lifanyike katika humbled way, ndani ya ndoa, mshakuwa mwili mmoja, mipaka ya nini?
Shida wengi hawapendi kujieleza nini wanataka na kufurahia, bado style nyingi ni za kurithi, uvumbuzi ni sifuri.
Kheri yangu mie, nimepata kocha wngu Preta, kama hajaridhika ananilima F, nikimkuna napata A+, Life is good!!!!