Kwangu nafasi ya mume wa mtu hamnaaaa! Sitaki stress za ada ya mtoto sijui, wakwe wanahitaji nauli waje, harusi ya shemeji blah! blah! blah! achia mbali risk ya kuchanwa chanwa na VIWEMBE mkifumaniwa chobingo!!!!!! Mi wangu VIJANA wasio na majukumu na Pesa ya ziada ipo ikiningoja niitumie.
Kuhusu kuwafurahisha na kuwaridhisha Wake zao ni haki kwa kweli, ukizingatia baada ya uzazi, SEXY SHAPE KUSHNEY BABUJ, Tambi tambi, nido saa nane kasorobo ya usiku, they have sacrifised a lot to start a family with you, so its fare n square UMPE EXTRA LOVE, CARE N RESPECT, Hata kama viwango vyake kwenye 6 by 6 ni F umuangalie mwanao na kumshukuru mamushka (shughuli ile ya kuleta kiumbe ni balaaaa! Nusu ya kufa)
Sio mkeo akizaa, shepu kushney unaanza kumkwepa kutoka nae out!
Mimi mume wa mtu hata iweje simpi KIDUDE for the sake of the wife!!!! Ila pesa yake naila mtanisamehe kwa hilo!.