Mke na Mama

Wadau mama anaumwa na anataka kukaa na mimi,mke wangu anasema hana furaha kukaa na mama nyumba moja,nimechanganyikiwa nishaurini,nimuondoe mamam au nikae nae na mke wangu hatakuwa na furaha???Nisaidieni wajameni.
Mama ndo evrythn banah! Bla mamaako huyo mke angekupata wapi? Do th needful 2 ur b'lovd mom n show her lov aiseee!dah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom