Mke mwenye wivu uliopitiliza

Ni kwelii,,je kwa wanaume??
 
bora nijinyamazie tu watoto wa mujini wanasema kuliamsha dude maana anakaba hadi nanihii! Hahahahahahaha halafu kubadili vitasa vyote vya nyumba
mume hata kuingia nyumbani kwake hawezi halafu huku unaimbiwa nyimbo ya Rihanna. Bora watu wamejitambua lakini utasikia mie sina wivu

Nimejikuta nacheka. Duuh

BAK pita huku. Ujue nimemkumbuka mtu mmoja hapa.

Hahahaaaaaa
 
Hahaaa. Ila namsifu ni mjanja sana ujue anajua kuchunga mzigo wake.

Pia sikuwa najua kumbe BAK na wewe ni muoga wa kuamshiwa madude kiasi hicho. Ila naamini hana wivu ni mahaba tu yale sio bure.
 
Mh! Mahaba ya kubadili hadi vitasa!
sipendi kununiwa hasa pale kununiwa ni kwa sababu ambazo hazihusu kitu ila wivu wa kukaba hadi nanihii

Mwingine mwenye wivu wa kupitiliza huyu hapa. Aliliamsha dude wakiwa angani ikabidi hadi pilot ashuke ardhini ili kuwafukuza ndani ya ndege.

http://nyp.st/2zoVSAV

Hahaaa. Ila namsifu ni mjanja sana ujue anajua kuchunga mzigo wake.

Pia sikuwa najua kumbe BAK na wewe ni muoga wa kuamshiwa madude kiasi hicho. Ila naamini hana wivu ni mahaba tu yale sio bure.
 
Wewe umekaliwa hakuna cha wivu hapo. Yani anachukua simu yako anapekua kama anavyotaka, anafuta majina anatukana watu wewe unamuangalia tu!! Kakuoa au umemuoa? Ni mtoto wa Rais au Waziri au Mamunyange?
 
Safi
 
Safi hii
 
Nakubali ana wivu ila haujamfikia huyo mama wa ki Iran aisee.
 
Reactions: BAK
Huyo aisee kaniacha hoi! Alianzisha ugomvi ndani ya ndege bila simile wala aibu angalau ya kusubiri wafike waendako. Njemba ililala ndani ya ndege mke akatumia dole la mume kuifungua simu na kuona siri zote za mchepuko.

Nimejikuta nacheka. Duuh

BAK pita huku. Ujue nimemkumbuka mtu mmoja hapa.

Hahahaaaaaa

Nakubali ana wivu ila haujamfikia huyo mama wa ki Iran aisee.
 
Huyo aisee kaniacha hoi! Alianzisha ugomvi ndani ya ndege bila simile wala aibu angalau ya kusubiri wafike waendako. Njemba ililala ndani ya ndege mke akatumia dole la mume kuifungua simu na kuona siri zote za mchepuko.
Ila yote kwa yote wivu ni sunna BAK.

Reactions: BAK

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…