Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,880
Ule msemo wa mke mwema anatoka kwa bwana naona kama ni stagnant perception!
Uwezo wa kupata mke mwema unatokana na akili yako na sio kusubiri ety bwana.
Just imagine.
Katika akili yako unawaza makalio makubwa ndio mke mwema
Bro makalio hayawezi kuleta ugali ila mindset so play part kubwa kuwngalia someone ability to think and making solutions sio makalio makubwa na shepu.
Just imagine
Unadate na mwanamke ambaye ana dress poor...hana tabia njema kwenye mazungumo, yani yupo hovyo! Yani huyo ndio mzazi mwenzio mana ukimpa mimba tu umeisha
Last, muonekano wa mwanamke liwe jambo la mwisho kabisa katika kufinf life partner.
Uzuri ni
Imani.
Huruma
Upendo
Hofu ya mungu.
Busara..
Usafi biinafsi
Malezi bora
Ukipata mwanamke mwenye tabia hizo jiandae kwenda peponi