Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,683
saint bana....ngoja wakushukie.....wayahudi unawajua wewe??
Kha! sasa anamkomesha nani? lolest
Mke mvivu wa kusali,mumewe akamwambia ukianza kusali kila sala nitakulipa 1 elfu5,na kwakua kawaida mtu anasali mara tano kwa siku mke akasali wiki 1,akamwambia mumewe haya nipe 175000 zangu,mume akamjibu utalipwa na mungu,mke akamjibu nilijua tu lazima unirushe hiyo hela ndio maana nlikua nasali bila kutawadha
looool....Dada mmoja naye aliona uvivu maana kila siku sala ilikuwa inajirudia.
Akaiandika vizuri,akabandika ukutani karibu na kitanda.
Ikifika muda wa kusali,alikuwa ananyoosha mkono,anaigusa ile karatasi na kusema,
MUNGU HII HAPA,halafu analala!!!!
Dada mmoja naye aliona uvivu maana kila siku sala ilikuwa inajirudia.
Akaiandika vizuri,akabandika ukutani karibu na kitanda.
Ikifika muda wa kusali,alikuwa ananyoosha mkono,anaigusa ile karatasi na kusema,
MUNGU HII HAPA,halafu analala!!!!