Mke/Mume wa mtu mtamu....

Mke/Mume wa mtu mtamu....

Tatizo waliothubutu kukubari kuwa mke/mme wa mtu ni wazi wana chembechembe za upendo na anajali na kuweza kudumu na mtu kwa muda flani lkn watu ambao umri wa kuoa umefika na uwezo wa kutunza mke au mume wanao ila wapowapo tu wengi wao awawezi kudumu na mwenza kwa kipindi kirefu wanapenda kuonjaonja na kubadili radha ndio maana watu wanaganda kwa wake au waume wa watu ili wapate utulivu ingawa inawacost wakigundulika.
 
Utamm wa pipi nimte yako2 angaika sana buchani nyama ileile cham2 hakinogi ufundi wako ndio utam wenyewe
 
Kiukweli mimi napenda sana waume za watu.
Hapa nilipo nina madonda mwili mzima shauri ya kupigwa na wake zao,lakini sikomi.
Watamu bhana,asikwambie mtu.

Mmmmh madonda mwili mzima ni balaaaa hili.....! Nenda kapime kabisa.........!:confused2:
 
Dunia ya sasa ina mapsychopath wengi sana,kwahiyo ni heri kuumeza huo ukweli kuliko kushindana nao mana utazeeka siku si zako.
Sjui tutapataje takwimu ila binadamu ambao wako possesed by demons nafikiri ni wengi sana.
 
FP,naona umeamua kumpa saluti madam kwa mchango wake,me mwenyewe hata kuendelea nimeshindwa,watu wajasiri sana humu ndani cjui na nje ni hivhhivi au..........................................
hapo inamaanisha hata nimeshindwa cha kumwambia...... ndo maana nimeishia kutoa salute, lol!
haya ya ndani tuyaache humu, ya nje huko hayatuhusu nadhani
 
Wana jf me nakuambia msimcheke huyo dada yann me nnaeujua huo utam namsupport kabsaaa,kupata ukimwi unaweza kuupata kokote tu...ngoja niwaambie me nina mme wa mtu na tumeshapima na alishamlazimisha mkewe nae keshapima na hivi sasa tunahangaika kutafuta mchumba wa kunioa mimi ili tuibe vizuri tupate pa kubadilishia ladha.......we unasema mumewa mtu sumu hujajaribu nakuambia kamwe hutatamka hayo maneno...........acha maneno me nakuambia
 
Kiukweli mimi napenda sana waume za watu.
Hapa nilipo nina madonda mwili mzima shauri ya kupigwa na wake zao,lakini sikomi.
Watamu bhana,asikwambie mtu.

hahahah kwahiyo ukivua nguo ni kama umevaa batiki au??
 
Wana jf me nakuambia msimcheke huyo dada yann me nnaeujua huo utam namsupport kabsaaa,kupata ukimwi unaweza kuupata kokote tu...ngoja niwaambie me nina mme wa mtu na tumeshapima na alishamlazimisha mkewe nae keshapima na hivi sasa tunahangaika kutafuta mchumba wa kunioa mimi ili tuibe vizuri tupate pa kubadilishia ladha.......we unasema mumewa mtu sumu hujajaribu nakuambia kamwe hutatamka hayo maneno...........acha maneno me nakuambia

Kwaiyo wewe unafanya cheating iliyo advanced,au umelemaa?
 
Back
Top Bottom