Mke muhaya hapana

Status
Not open for further replies.

Wayaha waowane na wahaya wenzao ndio wataendana,,,hakuna anayekufuru,,,,hii nimitizamo ya watu,,usijenge chuki,,,hata hao wahaya ukiwauliza unaweza kuowa wanawake wakikurya,,watakuambia hawafai,,niwakatili sana,,,kwakuwa tunawaongelea wahaya,,,wacha tuweke wazi yanayowahusu
 

mnyonge anyongwe na haki yake apewe,lol
 
Last edited by a moderator:
Mimi navyojua eti wanasema wahaya wengi wanaongoza kuuza bar! Hilo la mbunye sijui
 
Jombaa mbona unatukatisha tamaa sie tuliowekeza pande hizo..!!?
 
Si wote ni baadhi tu, wapo wengi sana tu wenye hofu ya Mungu waliompokea Yesu kama Bwana na Mokozi wa maisha yao. Kama amekutenda huyo wa kwako usidhani ni wote wako hivyo. Je na wewe ni msafi na una hofu ya Mungu?
,eeh! mwambie kuna
wenyehofu na mungu kama akina flora na gwajima
 
Mama wa watoto wangu ni Mhaya na nasikitika sana kwa members wenye calibre ya Molembe kuleta mada zenye misingi ya kikabila

Mnawadhalili hawa wadada wanaotoka kabila hili bila sababu zozote zilizothibitishwa kitaalam!Umalaya hauna kabila;eneo wala jinsia!

Molembe tutajie basi kabila gani hapa TZ sio malaya ambapo WOTE wana maadili?

Poor post ever seen before damn you!!
 
Last edited by a moderator:

Nakuunga mkono umalaya hauna kabila mfano mzuri ni makabila yanatoka mkoa wa Dodoma haswa wilaya ya kondoa, mkoa wa Manyara, Singida nk ni wepesi kama maharage ya Mbeya, tena unaweza ukala dada na wadogo zake.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…