Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-? Tafakari
Inaonekana wewe ni kiwanda cha kujamba. Kwani kujamba ni sharti mojawapo katika vows zenu za ndoa au upuuuuzi wako? Angekuwa Msambaa wakwe zako wangekuja na kumchukua kwa vile humpi lishe ya kutosha hadi ashue. Kwa wagikuyu unampa katheri kanini and then you hear some gunshots at night then you laugh and say nyina wa ciana kohania atya?
Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-? Tafakari
Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-? Tafakari
Roommate wako ana akili sana. Apart from kufanya mapenzi, kujamba ni kitu intimate sana. Kuna watu wachache sana unaweza kujamba mbele zao. Hata mama yangu najiuliza mara mbili mbili. But if you're able to break wind in front of your significant other, it just shows they hold a special place in your heart. :becky: