Mke/Mme ulimpata katika mazingira yapi?

Wakuu ndani ya mjengo nawasalimu.

Niwasilishe kwa ukumbusho kidogo hususani kwa wale tayari walioko kwenye Ndoa. Mkeo au mmeo uliyenae mpaka Sasa ulimpata katika mazingara yapi? Jamii yetu ya kiafrika tumekuwa watu wa kuoa au kuolewa kwa kufata kanuni na taratibu na kuzingatia zaidi itikadi za kiimani.

Mbali na hayo hivi Sasa kizazi cha kileo wengiwao imekuwa si kama ilivyokuwa huko nyuma nazungumzia bibi/babu zetu au wazazi wetu hasa kwa sisi kidgo tulio zaliwa miaka ya 80, ambao swala zima la kuoa au kuolewa haikuwa kama ilivyo Sasa.

Mimi sio mwandishi mzuri, nisimalize uhondo. Huyo bibi au bwana uliye nae ulimpataje? Nawasilisha kwenu.
Nategemea kupata humuhumu JF.

#YNWA
 
Interesting story,asante kwa Uzi wako mkuu,ilikuwa mwaka 2005 nikiwa nimepangiwa ajira Yangu ya kwanza katika halmashauri ya wilaya ya Luangwa kwa Hon.Majaliwa,nilipofika nilipangiwa kituo na nikawa nimetulia guest house moja pale mjini na ni maarufu sana ,kesho yake ilikuwa ndo siku ya kuriport kituoni kwangu,nikiwa nje nimekaa alikuja binti ,kiufupi nilivutiwa na muonekana wake,tall,tako lipo ,nikawa ninemuita lakini hakunijali kabisa,nilijua kuwa naye alikuwa amekuja kuliport,baada ya kumuita bila ya yeye kunisemesha niliachana naye.

Kesho yake nilienda kituoni kwangu nilikokuwa nimepangiwa kazi,nilikaa kama siku nne, ghafula asubuhi nakutana na binti yule yule niliyemwita pale guest house akakataa,naye alikuwa amepangiwa kituo kile kile ambacho Mimi nilikuwa nimepangiwa , kifupi nilimkumbusha akawa amekumbuka lakini mazoea yakawa yameishia pale pale,

Nilikaa kimya kuanzia mwaka2005- 2006,bila kumusemesha wala kumwambia chochote,maana nilijua alikuwa na mtu wake hivyo sikuona maana ya Mimi kumsumbua,lakini nikawa nashangaa mbona huyu Dada haolewi,ilipita karibu miaka mitatu bila ya kumuona akiwa na mtu,kuna kipindi nilizinguana naye maana nilikuwa namchukulia kama mtu mwenye kujibeba sana ,japo baadae tuliyaongea yakaisha,ikumbukwe muda wote sikuwahi kumtamkia kuwa nampenda, hivyo kila mtu alikuwa na mambo yake.

Mwaka 2007 niliamua kuvunja ukimya nikawa nimemtamkia rasmi kuwa nampenda na ninataka kuwa naye,alianza kumizengua kuwa ana mtu wake,nilihangaika kwa muda Wa mwezi mmoja,maana nilikuwa nahitaji mke kwani umri ulikuwa umeenda so nilihitaji mwenza Wa Maisha,Dada Wa watu hakunipa jibu kamili,nikashangaa siku moja akawa ameharibikiwa Simu yake ,hivyo akaniambia kuwa anataka ailete ili niitengeneze,kweli akawa ameileta akaiacha na kuondoka huku akidai kuwa atakuja ichukua baadae.

Mimi niliitengeneza Simu yake baadae kwenye mida ya saa mbili usiku nasikia mtu anapiga hodi,Mr.Digba fungua,ooh nikajisemea inakuwaje swala ajilete kwenye pango la simba mwenye njaa? Ikumbukwe kuwa nilikuwa naishi peke yake,nayeye pia alikuwa akiishi peke yake basi bwana siku ile nikaendelea kumwaga cheche hadi mdada Wa watu akanielewa na hiyo ikawa safari ya kuwa baba na mama Wa familia,hadi Leo hii Niko naye na tuna watoto wanne,nikili wazi sijawahi kumuona kuwa anamatatizo dhidi yangu hadi Leo hii,there for nampenda sana mke wangu maana ananitii sana tu.
 
Wewe huyo aliletwa kwa ajili yako.
 
Mwandiko huu haufabani na na mtu anayezeeka
Kanisani

NB

Sikua muimba kwayA wala mtoa huduma yoyote kanisani....nae hivyo hivyo......

Kwa niliyopitia nilimuomba Mungu wa kufanana nae nikutane nae katika nyumba yake .........

Nikasahau nakusahau hata nilipitia nini na niliomba nini...

Mwaka mmoja baadae paaaap huyu hapa!!!!!!!!!

Tunazeeka tu sa hii...

Oooophs leo nimefunguka daaah!!!!!!!!

Mchana mwema!!!
 
Nilimpata ofisini 2005 and she was just my girlfriend ,alikuwa na cheo cha chini yangu nikiwa CFO na nimemuowa tuna 12 yrs ya ndoa safiii
 
Tulikutana bar anakunywa balimi mi nimeshikilia k vant kubwa,sitaki kuongea ndoa yetu ipoje saiv ila mtakuw mmeelewa namanisha nini.
Kiufupi nyie mlikuwa walev wote hivyo hata ndoa yenu imebalikiwa kwan tabia mnaendan
 
Back
Top Bottom