Mke mmachame mume mmeru hapo sasa!

Mke mmachame mume mmeru hapo sasa!

haha na vimegoma kulala sasa.ni balala

Hahahahhaa hiyo.ilikuwa saa tano bado asubuhi, natumai saa hii saa tisa kasoro jua limewaka barabara na kama imegoma kulala hadi saa hii itabidi ufanye maarifa mengine. Ila pole muda wote huo mamushka wako kasafiri?
 
long distance relationship kills ,Hahaha.ndo maana naogopa sana vilivyo lala visiamke.hapa mpaka usiku.na shati Leo nimeshidwa kuchomekea.hauna ata mdogo wako mkuu.uokoe jahazi lisizame
 
long distance relationship kills ,Hahaha.ndo maana naogopa sana vilivyo lala visiamke.hapa mpaka usiku.na shati Leo nimeshidwa kuchomekea.hauna ata mdogo wako mkuu.uokoe jahazi lisizame

Mweeh mbona humu wako wengi tuu, we tangazo day, mie wa kike kwetu nilizaliwa pekeyangu. Polee
 
haha hawa wa uku nawaogopa maana nasikia wanachuna mpaka wanibakize mifupa tu

Siwatetei ila ni wasiwasi ma woga wako tuu, wako material adimu na adhimu. Kazi kwako kuchambua kisha usimamie kwato.
 
Hao watu tabia zinaendana wala usiwe na wasiwasi ndoa itadumu.
 
Hhahahahahahahahah hilo ni bonge la jaribu maana hao watu wote sio wa mchezo mchezo kabisa wako stressed 24/7
 
Back
Top Bottom