The Boss, kumpiga mkeo, mwanao ni kumdumaza ki akili na kujenga chuki isiyo kwisha. Kama ulishawahi kupigwa na baba yako/mwl wako lazima ukikumbuka hiyo moments unamchukia. Au angalia watoto wengi walio chapwa huwa hawajiamini kabisa! Kuchapa kwa ujumla ni ujinga wa hali ya juu! ndiyo maana kuna nchi ukimchapa mtoto anakuja kuchukuliwa na state, na analelewa na familia nyingine.
Nadharia zako ndugu yangu ni potofu ndizo zilizo dumaza vijana wa kitanzania walio wengi. Nakutolea mfano mdogo tu. Mimi nimeishi nchi za nje kidogo na kuweza kuona jinsi vijana wa mataifa mengine wanavyoweza kujiamini. Kwa ujumla watoto wetu sisi wa kitanzania ni vijana wasio jiamini kutokana na hulka waliojengewa na wazazi wachapa viboko, na uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. Na ukiangalia vijana wa ulaya ambao hawachapwi wanajiamini na ni creative ukilinganisha na hao wa kitanzania wanaotishiwa na kuchapwa kila siku. Na hili suala naeleza siyo theory bali ni uhalisia niliojionea mimi mwenyewe. Au tu kwa Tanzania, ukikuta mtoto/kijana anajiamini na creative basi ukifuatilia utakuta ktk familia yake baba na mama ni wenye upendo na hawana mambo ya kuchapachapa na mtoto hupewa uhuru wa kueleza mawazo yake.Marehemu baba yangu aliwahi kunichapa siku moja ile mpaka nikahisi anataka kuniua. Alikasirika sana kwani alininunulia bicycle enzi zile BMX ila alinionya nisiende nayo shule, nami nikakaidi. Kwa kweli toka aliponipa kibano na akanipa sababu ya kwa nini kanichapa sikuwahi kurudia tena na sikuwahi kumchukia kwani hata nikikumbuka lile tukio huwa nacheka kwani aliamua kuitupia bicycle batini tena aliidismantle yote. Ila nilipomuomba alinitengenezea. Kuchapa mtoto kwa kumkanya inasaidia mkuu, na kama wewe unamchukia mama au babako kisa alikuchapa then laana inakufata. Utafunzwa na ulimwengu. Kumbuka hata biblia imesema japo sikumbuki kufungu. Kwamba, MTOTO ANYIMWAE KIBOKO NA MAMAYE HUWA MPUMBAVU.
Ushauri wangu kwa wazazi, msichape watoto. Muwaelekeze wataelewa.
Nadharia zako ndugu yangu ni potofu ndizo zilizo dumaza vijana wa kitanzania walio wengi. Nakutolea mfano mdogo tu. Mimi nimeishi nchi za nje kidogo na kuweza kuona jinsi vijana wa mataifa mengine wanavyoweza kujiamini. Kwa ujumla watoto wetu sisi wa kitanzania ni vijana wasio jiamini kutokana na hulka waliojengewa na wazazi wachapa viboko, na uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. Na ukiangalia vijana wa ulaya ambao hawachapwi wanajiamini na ni creative ukilinganisha na hao wa kitanzania wanaotishiwa na kuchapwa kila siku. Na hili suala naeleza siyo theory bali ni uhalisia niliojionea mimi mwenyewe. Au tu kwa Tanzania, ukikuta mtoto/kijana anajiamini na creative basi ukifuatilia utakuta ktk familia yake baba na mama ni wenye upendo na hawana mambo ya kuchapachapa na mtoto hupewa uhuru wa kueleza mawazo yake.
Nani ka kuambia hivyo, kenya watoto hawachapwi kama bongo. We endelea kuchapa wanao watakuwa bogus! Kwa sababu mie sioni mantiki ya kumchapa mtoto kisa unamaliza hasira zako tu, mtoto ni mtoto anahitaji kufundishwa mema na mabaya kwa utaratibu. Ingekuwa kuchapa ni kuelewesha basi vyuo vikuu wangechapa ili wanafunzi waeleweKwa sababu watoto hawachapwi ndio maana wanakuwa na confidence? Ama kweli watu tukiishi nje tunafikiri copy & paste ya yale tunayoyaona ndio maendeleo tu.................Hivi umewaona vijana wa Kenya walivyo na confidence..unafikiri hawajapitia mboko wale..........
duh, mke mlevi, anapenda starehe.....atakuwa anapigwa madole kila siku na walevi akilewa huko, bora tu wasimsodomize....
Ha ha ha this is amazing...............
Let me tell you something..........Huyu jamaa aache kuchonga sana saa hizi hizo
gap mkewe asingekuwa nazo kama tangu mwanzo hakumzoesha mwenyewe
alimpa nafasi ya kujirusha wakiwa wachumba sasa kamuweka ndani na mtoto
juu ndo anataka kumbadilisha mwambie hilo analo atajibeba nalo
alilikoroga toka mwanzao mwambie alinywe sasa hivi asisikie uchungu
huyo mwanamke asingeweza kufanya hayo bila kuwa na confidence ya kuwa
mumewe anajua yeye anapenda kujirusha ha ha ha ha ha ha
binti akishakuwa 'mlevi mbwa' lazima 'friends' or whatever you call them wata-'roam' freely kwenye matundu yote...
Aliapa kanisani siku ya ndoa yao kwa shida na raha,ndo shida zenyewe hizo..pole yake!
Wewe chunguza,matatizo mengi ya namna hii ( hasa dharau kwa mwenza maana hii ni dharau) huanzia bedroom. Jamaa afunguke something is wrong kwenye six by six,believe ye me.mmh kiukweli ulevi uliopitiliza haswaa kwa wanawake si mzurii kbs....... kwanza una side effects kibao yan!
mmh pole yake lkn pia kweli kbs huyo dada before hakuwa ivyo?? ss mpaka mkewe anafikia kuwa na extreme case kias icho yeye alikuwa anafanya nn?? au ndio alibadilika drastic kias ichoo??
nways pole mwaya embu muweke kwenye maombi, pia wakae waendelee kuzungumza kuwa hapendi io tabia!