Pole sana, however I think hauja tupa information zote hapo , Au uwongo?
Mimi navyo tazama hapa kutokana na kauli yako, mke wako hataki kushindwa.
Sa kwanini usiwe unampa tu ushindi, ili asipate ule wendawazimu wa kuvunja vitu :biggrin1:
Pepo hilo!
Na kanisani anaenda sana kusali..na tunaenda wote pia..ila anatukana sana matusi utafikili nn sijui.
Umejaribu kuwasemesha family yake wakusaidie kuhusu tabia yake, je alikuwa hivyo kabla ya kuolewa, isije kuwa wewe ndo umemfanya awe vile.Yes ni kweli hataki kushindwa na mara nyingi namkubalia tu ila kuna wkt naona kitu sio sahihi na inabidi nikatae kwa hoja zangu, na hapo ndio hataki. Kwa mfano natakiwa na ofisi kusafiri mkoani kikazi na yeye hataki, sasa hapo lzm iwe hivyo nisiende hiyo safari.
Na kanisani anaenda sana kusali..na tunaenda wote pia..ila anatukana sana matusi utafikili nn sijui.
Talaka kwani ni nyimbo.mpe talaka
Pole sana ndugu yangu.. Sema wewe itakuwa unamatatizo. Huwezi kumchekea kwa swala la kuvunja vitu. Mwambie akanunue yeye alivyovunja. Kama inakuwa shida sana muolee mke mwingine atakuwa na adabu tu.