Mke mke mke 🚨🚨🚨

Irene Paul huyu? Mbona sijaona in4 kuhusu? Em ngoja nikafukunyue kwani nijue kulikoni.
huyohuyo sofia wa siri, unaniangusha uko daslam au nanjilinji?? nimeskia leo kuingia kwa page ake nakuta hajapost since nov 23 2023 kuna comment ikamuuliza kuna sehem nimesikia umefariki, ukipata jibu niambie
 
Hapanaaa!! Hajafariki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom