Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 1,353
- 2,351
Mke hatafutwi hivi MkuuNATAFUTA MKE UWE UNAISHI DAR UWE KABILA LOLOTE KASOLO MUHAYA UWE MKRISTO KAMA SIO KUAJILIWA UWE UME JIAJILI UMRI 25_32
βββββββββ
Mke hatafutwi hivi MkuuNATAFUTA MKE UWE UNAISHI DAR UWE KABILA LOLOTE KASOLO MUHAYA UWE MKRISTO KAMA SIO KUAJILIWA UWE UME JIAJILI UMRI 25_32
ili swala la mshangaz sio mara ya kwanza,,iv upo serious eeehπMi nataka mashangazi.....
Kigezo pia awe na kazi yake aiseeeeee...
πππππππππππ
Alafu inaelekea wee pasua kichwa sana πππππππππππ
af ss tukifka umri wa mashangaz watahitaj vitotoπ₯Soko la mishangazi ni kubwa sana π
Wewe baki kwa LucasKabila limenikosesha mume...!
Msichukulie serious! Hakuna chochoteWewe baki kwa Lucas
Na wewe usichukulie serious, achana naye π€£π€£π€£.Msichukulie serious! Hakuna chochote
Tunaachana vipi wakati hatujashikanaNa wewe usichukulie serious, achana naye π€£π€£π€£.
ππππ§Kabila limenikosesha mume...!
Hahaha!Tunaachana vipi wakati hatujashikana
Dar kuna wadangaji tu na mashangazi.Tupo mkuu acha kumpoteza mtafuta WIFE
Chapachapaπππππ§
Kauli za mishangazi hizooKwendraaΓ aΓ aaa
Hatar sana, comment ilinitisha sanaChapachapaπ
And... Am certified shangaziKauli za mishangazi hizoo
Umeonaaaa eeeehDaaaah sitii neno
Nipo serious na nishawahi kupata ban hapa kwa ajiri ya haya mambo aiseeeeili swala la mshangaz sio mara ya kwanza,,iv upo serious eeehπ
Mm n mtulivu sanaaa πππ
bas sawa,,m nisubir baada ya miaka 20 ntakua mshangazNipo serious na nishawahi kupata ban hapa kwa ajiri ya haya mambo aiseeee
Waniache tuu kwa kweli
πππππππ Unataka nibubujikwe na machozi ya furahabas sawa,,m nisubir baada ya miaka 20 ntakua mshangaz