asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,029
nimesikia mara nyingi sana sisi wanaume tunapotaka kuchagua mwanamke wa kuoa tunadai mke material.....nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hili ,wadau naomba mnipe somo hapa.
hivi huyu mke material ni mke wa aina gani?
anapatikana vp , je tunazingatia past ,present au future kudetermine?
utamjuaje kuwa huyu uliyenaye ni mke material?
je ni kweli wanaume tunaoa mke material au huwa tunaamua kujilipua tu linapokuja suala la kuoa?