Hawez kuondoka bila kutimiza lengo lake la kukuondoa dunian,sasa ww unapomwacha hapo unajipalilia kifo chakoNimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.
Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.
Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.
Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.
Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.
Msaada wenu
Tupo wengi tu....huwezi ishi na mkeo usishike simu yake! utakuwa huna wizu nae na maana yake utakuwa humpendi,na binafsi sijawahi ona mwanaume anaye oa mwanamke ambaye hajampenda!
We ni jinsia gan me au ke..Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.
Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.
Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.
Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.
Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.
Msaada wenu
Kuna kaka yangu pamoja na visenti vyake mkewe kamsaliti, mwezi wa saba huu hawako pamoja ,unaweza ukawa na pesa na ukaibiwa mke pamoja na pesa zako.Wewe ni mwanaumwe au mvulana??
Yani amekujibu simple kweli kuonesha jinsi gani anakuchukulia.
Tafuta hela kijana.
Mkuu mpaka sasa unafuga CHATU Ndani endelea kumlisha ili akue akumeze kabisa.
Kuna member humu alisemaItakuwa yeye ndio analisha familia ikiwemo wewe .
Kingine mmekaa muda watu huchokana eti .
Au hujui mmkae mpaka watoto mpate awe tu mwaminifu?
Kwanza ametaka tu uione makusudi kwa maana asingeacha simu.Au
Ulishawahi kumfanyia hivyo nayeye ndio anakurudishia .
Unajua kuoana nakuishi na mtu mpaka aje mumoja kufa kunakazii.
Inaonyesha hizo ndizo lifestyle yenu mmezoea hapo ndani wewe ndio unakuwa unaumia zaidi kushinda yeye ndio maana anafanya kikuume.
Haya ndio mashauri nakupa chagua moja.
Naikusaidie.
Ila huwezi kumfukuza couse mmeshaazaanaye watoto hawaezi kaa na mama wa kambo eti kisa umemfumania kwenye whtsupp hiyo nikichekesho.
Eti unamfukuza anabakii ulitaka aemde wapi?
Naanawatoto naalikuwa busy anawatafutia watoto chakula .
Wewe ukiwa busy unatafuta njee wakumtunza .
Halafu unaelekea wewe ni wale sampuli chafu zenye madharau.
Na ndio mke kachoka anakuonyeshea kuwahaupo mwenyewe kiakili sio kiumbulula.
Ila unakaukweli hapo ila je kama mwanaume akivua boxer kwa mwanamke mwingine sio wangu pia?Kuna member humu alisema
''Mwanamke akisha mvulia chupi
mwanaume mwingine huyo si wako
tena,na wala usitegemee heshima,upendo wala amani ktk nyumba yako''
sijawahi kutumiema pesa yake ata sent 5 ila tambuaItakuwa yeye ndio analisha familia ikiwemo wewe .
Kingine mmekaa muda watu huchokana eti .
Au hujui mmkae mpaka watoto mpate awe tu mwaminifu?
Kwanza ametaka tu uione makusudi kwa maana asingeacha simu.Au
Ulishawahi kumfanyia hivyo nayeye ndio anakurudishia .
Unajua kuoana nakuishi na mtu mpaka aje mumoja kufa kunakazii.
Inaonyesha hizo ndizo lifestyle yenu mmezoea hapo ndani wewe ndio unakuwa unaumia zaidi kushinda yeye ndio maana anafanya kikuume.
Haya ndio mashauri nakupa chagua moja.
Naikusaidie.
Ila huwezi kumfukuza couse mmeshaazaanaye watoto hawaezi kaa na mama wa kambo eti kisa umemfumania kwenye whtsupp hiyo nikichekesho.
Eti unamfukuza anabakii ulitaka aemde wapi?
Naanawatoto naalikuwa busy anawatafutia watoto chakula .
Wewe ukiwa busy unatafuta njee wakumtunza .
Halafu unaelekea wewe ni wale sampuli chafu zenye madharau.
Na ndio mke kachoka anakuonyeshea kuwahaupo mwenyewe kiakili sio kiumbulula.
Dah braza ulipiga moyo konde sanaebu na Mimi nichangie kwa kueleza kisa changu ..
.. Nilifunga ndoa mwaka 2013 na binti niliye dumu naye kwenye uzinzi kwa miaka 2 namanisha tulikuwa tunagegedana kabla ya kufunga ndoa ...bahada ya mwaka mmoja na nusu kuishi nae kwenye ndoa tukapata Toto dume yani dume kweli kweli nikisema dume ujue dume tena jeusi pua kubwa ata kwenye ukoo wetu akuna mwenye lipua kama hilo..kitu ambocho family yangu ilipinga kuwa uyo mtoto ladhima nime pakaziwa ...nilimkingia kifua wife ..si unajua tena ndo napo ponea ..lakini bahada ya mtoto kuanza kutembea wife akanza kuleta machejo mengi..
Mara achelewe kurudi home .. Tena bila sababu muimu nikaona isiwe mbaya labda biashara yake ya mamalishe inakwenda vizuri mana kwa wakati huo alikuwa anauza chakula maeneo ya ubungo riverside .
Basi bwana simu yake akawa anazima anaporudi home .ikiwa on basi akipokea anakwenda kulonga nje... Kutokana na vitabia vya kijinga alivyo kuwa akionesha ..nikanza kufunguka macho nikaanza kuziona dosali adi kwa mtoto ..mana lile Toto lilikuwa na dole gumba LA mguu kubwa ata babu yangu akuwai kuwa nalo ..toto dogo Ila linaonesha kuwa na dalili za kipara kitu ambocho kwetu sisi akuna ..basi nakawa najimbia uenda kweli nyumbani waliniambia jambo LA kweli ..ila nikajipa moyo uenda nishetani tu anataka kuharibu ndoa yangu... Basi siku zikapita uku vitimbwi vya ashangedele vikiongeza nikawa na mezea tu mana kwa kipindi icho nilitimuliwa kazi kwenye banda LA chipsi sikuwa na kitu na wife ndo alisimamia family kwa wakati huo ikabidi niwe mpole ..kuna siku nipo home akawa amenda kuoga simu kacha kitandani ikabidi nichukue kwa lengo LA kuchukua namba ya dadake mana ilipotea bahada ya kulinyuu lain ..nikajikuta tu natazama chat zake ..nilicho kikuta uku sili yangu ..ila kikubwa ni kwamba wife anamsifia jamaa aliye msave jibaba kuwa kafanana na mtoto wake .tena anamsifu jibaba anajua kugegeda kuliko Mimi ....APA acha niluke coz najikuta natonesha kidonda ... Nikaludisha simu yake nika uchuna .... Nikatoka njee nikampigia MZEE simu nikamwambia kila kitu alicho nijibu ni USIKUBARI MWANAMKE AKARIBU FUTURE YAKO .banikapanga nguo zangu kwenye begi .bira kusahau kachet kangu ka form 4 .nikahiba na pesa yake 80000 .nikasepa sikuhaga MTU .nikalala kwa jamaangu shekilango .asubuhi nikapanda rungwe adi mbeya ..adi sasa navyo andika ivi Nina good life na miliki vibanda kazaa vya tigo pesa mabanda ya mipira ..na mambo yanaendelea ..NACHOKUSHAURI USIKUBARI MWANAMKE ARIBU FUTURE YAKO
Oh sawa kwanini unaomba ushauri huku watu wataongea mengi.sijawahi kutumiema pesa yake ata sent 5 ila tambua
Sio rahisi hivyo kama unavyofikiria kwa mtu uliyemwamini na kumpendaFukuza haiitaji ushauri dah kweli tunatofautiana na kwa majibu yake anaonekana kakuzidi nguvu...inaonekana ulimwendekeza
Akimletea UKIMWI cz alimpenda haina shida sio ili awaache watoto yatima na hao wahuni...mkuu naona na wewe una mawazo kama ya mleta mada pole sanaSio rahisi hivyo kama unavyofikiria kwa mtu uliyemwamini na kumpenda