ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Hakika Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana kwangu!Niko well kiasi...
Za masiku Mungu mwema dada!
Hakika Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana kwangu!Niko well kiasi...
Za masiku Mungu mwema dada!
Mateso ya kiakili. Yaan naipenda sana hii mbinu maana humtesa mpaka nafsihuku nilipo mwezi uliopita kuna jamaa alimfamania muke wake ndani ya nyumba yake alichofanya hakumuongelesha mwanamke kitu chochote,alikuwa anaondoka asubuhi na kurudi usiku bila kumuongelesha mwanamke baada ya siku 4 mwanamke aliondoka mwenyewe
Hapana mkuu. Sio wote alikuwa wa kwanza moyoni mwangu na atakuwa wa mwishi moyoni na mwilini.Daaah nkisomaga visa vya waliopita wengine hamu ya kuoa huisha.
Mm nasema hiv ni bora ukaujua ukweli wa mambo kuliko kuishi katikagiza na matumaini ya uwongo.Maisha yamebadilika sana Ndugu
Kamwe usijaribu kushika simu ya mwanamke umpendae au mke wako.
Kamwe kamwe usijaribu hicho kitu
Utakayo yaona humo yanaweza kukuadhiri kisaikolojia kwa muda wote wa maisha yako
Wanawake hawa wa kitanzania wa sasa wapo kwenye kipindi cha mpito cha kuiga vitu vinavyofanywa na wanawake wa kizungu. Ni katika kipindi hichi ndipo sisi wanaume tutaumia sana!!!!
Huwezi kumuachia kila kitu mwanamke malaya. Vitu nitafute mm halafu nimwachie? Aende kwa malaya wenzake.Hama muachie kila kitu, nenda zako uanze maisha upya.
Ukikua utayaonahuwezi ishi na mkeo usishike simu yake! utakuwa huna wizu nae na maana yake utakuwa humpendi,na binafsi sijawahi ona mwanaume anaye oa mwanamke ambaye hajampenda!
"ulichokitaka ndio ulichokiona" hii kauli kuambiwa mwanaume ni ngumu sana ujue, mke umeoa au sogea tuishi? sidhani kama mwanamke ulie muoa anaweza kufanya ujinga kama huu na ukamwangalia tu bila hatakushirikisha ndugu yake hata mmojaNimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana name new watoto wangu nilikua simfutilii ata simu yake sishiki. kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini alicha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki whatsapp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyo rudi ananiuliza ulipokea simu yangu nikamwambia yes.akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.Akaniuliza i umefungua whatsapp nikamjibu i ndio.alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu.eti nilichokitata ndio nilichokiona tatizo nishmfukuza ila ataki kuondoka.Msaada wenu
Mnabidi mtulie. Umeolewa unaishi na mwanaume anayekuhudumia lkn unahangaika na wanawaume ambao hawana mpango na ww.Polee sana
mwanaume huwa haliilii. Wewe utakuwa mwanaume wa Dar.