Mke malaya, nimfanyaje?

Mke malaya, nimfanyaje?

Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana name new watoto wangu nilikua simfutilii ata simu yake sishiki. kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini alicha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki whatsapp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyo rudi ananiuliza ulipokea simu yangu nikamwambia yes.akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.Akaniuliza i umefungua whatsapp nikamjibu i ndio.alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu.eti nilichokitata ndio nilichokiona tatizo nishmfukuza ila ataki kuondoka.Msaada wenu
Hivi Wanaume wengine vipi aicee?

Unaomba ushauri jinsi ya kumfukuza au?

Kwani amekuoa wewe?

Mfungishie virago vyake...wanawake wapo wengi sana.
 
Wewe ni mpole sana mkuu,pole sana ndugu naamini umepewa ushauri wa kutosha lkn ww ndiye mwamuz wa yote.
Narudia ndugu acha unyonge unyonge fanya maamuzi ya kiume.
 
Mi ndio maana naona bora nifuate kile nilichokuwa nakiona kwa wazee wangu. Yaani sasa mpaka nashangaa sana. Mtu umeoa mmegombana kidogo wife anakujibu kama anajibishana na bodaboda halafu unaanza kumkumbushia eti mi mumeo ujue. Sikuwahi kumsikia mzee wangu akiongea hiyo kauli. Yaani bi mkubwa kabla hata ya kukumbushwa alikua anajua anaongea na nani.

Sasa sa ivi ndio haya tunayoyaona mke anamjibu mume anavyotaka. Asee wanaume tumeshushwa hadhi sana. Inabidi ile heshima ianze kurudi. Kipindi hicho nilikua namuona mzee ni bandidu sana lakini kiuhalisia inabidi kuwa bandidu ili walau heshima iwepo hata kama kuna madudu nyuma yanaendelea.

Mimi mke hawezi nijibu ivyo. Mzee fanya maamuzi ya busara.
 
ebu na Mimi nichangie kwa kueleza kisa changu ..
.. Nilifunga ndoa mwaka 2013 na binti niliye dumu naye kwenye uzinzi kwa miaka 2 namanisha tulikuwa tunagegedana kabla ya kufunga ndoa ...bahada ya mwaka mmoja na nusu kuishi nae kwenye ndoa tukapata Toto dume yani dume kweli kweli nikisema dume ujue dume tena jeusi pua kubwa ata kwenye ukoo wetu akuna mwenye lipua kama hilo..kitu ambocho family yangu ilipinga kuwa uyo mtoto ladhima nime pakaziwa ...nilimkingia kifua wife ..si unajua tena ndo napo ponea ..lakini bahada ya mtoto kuanza kutembea wife akanza kuleta machejo mengi..

Mara achelewe kurudi home .. Tena bila sababu muimu nikaona isiwe mbaya labda biashara yake ya mamalishe inakwenda vizuri mana kwa wakati huo alikuwa anauza chakula maeneo ya ubungo riverside .
Basi bwana simu yake akawa anazima anaporudi home .ikiwa on basi akipokea anakwenda kulonga nje... Kutokana na vitabia vya kijinga alivyo kuwa akionesha ..nikanza kufunguka macho nikaanza kuziona dosali adi kwa mtoto ..mana lile Toto lilikuwa na dole gumba LA mguu kubwa ata babu yangu akuwai kuwa nalo ..toto dogo Ila linaonesha kuwa na dalili za kipara kitu ambocho kwetu sisi akuna ..basi nakawa najimbia uenda kweli nyumbani waliniambia jambo LA kweli ..ila nikajipa moyo uenda nishetani tu anataka kuharibu ndoa yangu... Basi siku zikapita uku vitimbwi vya ashangedele vikiongeza nikawa na mezea tu mana kwa kipindi icho nilitimuliwa kazi kwenye banda LA chipsi sikuwa na kitu na wife ndo alisimamia family kwa wakati huo ikabidi niwe mpole ..kuna siku nipo home akawa amenda kuoga simu kacha kitandani ikabidi nichukue kwa lengo LA kuchukua namba ya dadake mana ilipotea bahada ya kulinyuu lain ..nikajikuta tu natazama chat zake ..nilicho kikuta uku sili yangu ..ila kikubwa ni kwamba wife anamsifia jamaa aliye msave jibaba kuwa kafanana na mtoto wake .tena anamsifu jibaba anajua kugegeda kuliko Mimi ....APA acha niluke coz najikuta natonesha kidonda ... Nikaludisha simu yake nika uchuna .... Nikatoka njee nikampigia MZEE simu nikamwambia kila kitu alicho nijibu ni USIKUBARI MWANAMKE AKARIBU FUTURE YAKO .banikapanga nguo zangu kwenye begi .bira kusahau kachet kangu ka form 4 .nikahiba na pesa yake 80000 .nikasepa sikuhaga MTU .nikalala kwa jamaangu shekilango .asubuhi nikapanda rungwe adi mbeya ..adi sasa navyo andika ivi Nina good life na miliki vibanda kazaa vya tigo pesa mabanda ya mipira ..na mambo yanaendelea ..NACHOKUSHAURI USIKUBARI MWANAMKE ARIBU FUTURE YAKO
nmekupenda bure mkuu uamuzi wa kiume sana huo ulifanya
 
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana name new watoto wangu nilikua simfutilii ata simu yake sishiki. kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini alicha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki whatsapp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyo rudi ananiuliza ulipokea simu yangu nikamwambia yes.akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.Akaniuliza i umefungua whatsapp nikamjibu i ndio.alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu.eti nilichokitata ndio nilichokiona tatizo nishmfukuza ila ataki kuondoka.Msaada wenu
Atakuua huyo...hama mwache na huyo dada yake watakuua hao shauri zako...
 
Back
Top Bottom