Mwanaginingi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 464
- 400
Pole Kaka!Ambao Hatujaoa Tunajifunza Kitu!Kwa Jinsi Alivyokujibu ni dhahiri kakuchoka!Wataarifu wazazi wake Au Ndugu Zake Kila Kitu Kisha Akikataa Kuondoka Basi Mwache Akae Ila Mfanyie mgomo baridiNimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.
Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.
Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.
Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.
Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.
Msaada wenu
Pole sana jamaa anazidi kupiga msumari kwenye maumivu yako dah....pole sana angekaa kimya tu kwelimkuu ungekaa kimya labda ingekua busara sana kuliko unavyo nifanyia?
Well said bro.....pole sana aiseeebu na Mimi nichangie kwa kueleza kisa changu ..
.. Nilifunga ndoa mwaka 2013 na binti niliye dumu naye kwenye uzinzi kwa miaka 2 namanisha tulikuwa tunagegedana kabla ya kufunga ndoa ...bahada ya mwaka mmoja na nusu kuishi nae kwenye ndoa tukapata Toto dume yani dume kweli kweli nikisema dume ujue dume tena jeusi pua kubwa ata kwenye ukoo wetu akuna mwenye lipua kama hilo..kitu ambocho family yangu ilipinga kuwa uyo mtoto ladhima nime pakaziwa ...nilimkingia kifua wife ..si unajua tena ndo napo ponea ..lakini bahada ya mtoto kuanza kutembea wife akanza kuleta machejo mengi..
Mara achelewe kurudi home .. Tena bila sababu muimu nikaona isiwe mbaya labda biashara yake ya mamalishe inakwenda vizuri mana kwa wakati huo alikuwa anauza chakula maeneo ya ubungo riverside .
Basi bwana simu yake akawa anazima anaporudi home .ikiwa on basi akipokea anakwenda kulonga nje... Kutokana na vitabia vya kijinga alivyo kuwa akionesha ..nikanza kufunguka macho nikaanza kuziona dosali adi kwa mtoto ..mana lile Toto lilikuwa na dole gumba LA mguu kubwa ata babu yangu akuwai kuwa nalo ..toto dogo Ila linaonesha kuwa na dalili za kipara kitu ambocho kwetu sisi akuna ..basi nakawa najimbia uenda kweli nyumbani waliniambia jambo LA kweli ..ila nikajipa moyo uenda nishetani tu anataka kuharibu ndoa yangu... Basi siku zikapita uku vitimbwi vya ashangedele vikiongeza nikawa na mezea tu mana kwa kipindi icho nilitimuliwa kazi kwenye banda LA chipsi sikuwa na kitu na wife ndo alisimamia family kwa wakati huo ikabidi niwe mpole ..kuna siku nipo home akawa amenda kuoga simu kacha kitandani ikabidi nichukue kwa lengo LA kuchukua namba ya dadake mana ilipotea bahada ya kulinyuu lain ..nikajikuta tu natazama chat zake ..nilicho kikuta uku sili yangu ..ila kikubwa ni kwamba wife anamsifia jamaa aliye msave jibaba kuwa kafanana na mtoto wake .tena anamsifu jibaba anajua kugegeda kuliko Mimi ....APA acha niluke coz najikuta natonesha kidonda ... Nikaludisha simu yake nika uchuna .... Nikatoka njee nikampigia MZEE simu nikamwambia kila kitu alicho nijibu ni USIKUBARI MWANAMKE AKARIBU FUTURE YAKO .banikapanga nguo zangu kwenye begi .bira kusahau kachet kangu ka form 4 .nikahiba na pesa yake 80000 .nikasepa sikuhaga MTU .nikalala kwa jamaangu shekilango .asubuhi nikapanda rungwe adi mbeya ..adi sasa navyo andika ivi Nina good life na miliki vibanda kazaa vya tigo pesa mabanda ya mipira ..na mambo yanaendelea ..NACHOKUSHAURI USIKUBARI MWANAMKE ARIBU FUTURE YAKO
Angefanya maamuzi alete story ikiwa ishaisha na maamuzi ashafanyailitakiwa ulete uzi akiwa hayupo home,huo ungese akafanyie kwao ***** zake
Hahaha comment yako kalimi ungekuta hii post nimeandikia polisi baada ya kumuomba mkuu wa kituo simu niingie jamii forum
Hahahq comment yako kalimi ungekuta hii post nimeandikia polisi baada ya kumuomba mkuu wa kituo simu niingie jamii forum
Ila angekua mwanaume ndo kamtumia mwanamke hivo mngesema aombe msamahaDuuuu pole sana.nimejaribu kuvaa uhusika lakin nimeshindwa.ni mazito kuliko uwezo wangu
Kwan jaman akiuliza amekosea nnYaa sijaelewa...hayo maswali, wewe ndio ulikuwa una muuliza, au yeye alikuwa anakuuliza wewe..
Kama ni yeye alikuwa anakuuliza, hizo nguvu alizipata wapi, dah tunatofautiana sana.
Ila ni mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchunguYaa sijaelewa...hayo maswali, wewe ndio ulikuwa una muuliza, au yeye alikuwa anakuuliza wewe..
Kama ni yeye alikuwa anakuuliza, hizo nguvu alizipata wapi, dah tunatofautiana sana.
Mwanamke hata ukimla vizuri kiasi gani hiyo si dawa ya kuacha kuchepuka.Kugegedwa ni starehe ya aina ya pekee kuliko starehe zote, kwa hiyo ni lazima baada ya kutoka kwako atatamani pia aonje utamu mahali pengine ukoje.Hii ni shida ya ulimwengu mzima na sidhani kama kuna dawa ya kukomesha.Zaidi ya starehe kwa mwanamke pia kuna kujipatia kipato baada ya kuhongwa.Kwa upande wa wanaume nako kuko vile vile, mwanaume anatamani kuwa na mwanamke mwingine tofauti na mkewe kwa sababu moja tu; nayo ni kutafuta starehe kuona kwingine kuna kuwa vipi.Hivi mwanamke anataka ndoa au anataka agegedwe vizuri sana kipi anataka ..... Au haiwezekani asiwe na kimoja so ikikosekana moja anaisaka kwingine