Mke kuvaa nguo za mumewe ni sahihi?

Mkuu mm nitazingatia swala la Uchoyo..

Acha mara moja,,.. angekuwa akivaa nguo zako,, wewe unakosa za kuvaa hapo sawa..

Acha uchoyo,,, ujinga ukutoke...
 
Acha kununua t-shirts, ambazo ni rahisi kuvaliana, nunua shart linaloonekana ni la kiume kabisa, hata akilivaa na wewe ukivaa, hautaambiwa ni la mkeo.
 
😂😂😂😂😂😂 jamaa MNOKO kweli aisee. Yaani Mke kuvaa T-shirts za Mumewe ni kitu cha kugombana kweli? Kuna haja ya kufungua chuo cha MAPENZI ili kufundisha mambo mbali mbali yanayoweza kujiri ndani ya penzi na yale ambayo ni LAZIMA yasikosekane maana naona baadhi wanadhani mapenzi ni kuingiza dushe ukapata utamu 🤣🤣🤣🤣

Mahaba Baba hayo..embu acha kumind vitu vidogovidogo...😂😂
 
Na wanawivu kinoma akiona Tu umevaa t-shirt umependeza anayo tena anaivutavuta Sana ili ck ukiivaa isikukae vzr , na pia waliomuona wajue wewe umeoa

Hahahah



Ndio hapo tu panapo nichosha
 
Mwenzio anajivunia kuvaa nguo zako ili aonekane na wanawake wenzake kuwa wewe ni wake....unakasirika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…