Je, ni sahihi kurithi na kuvaa nguo za marehemu?

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
851
1,887
Habari.

Je, ni sahihi kurithi na kuvaa nguo za marehemu?

Naombeni mnijibu kijamii na kiimani pia na ushahidi.

Summarize nina watoto wangu wana miezi kadhaa sasa, dada yangu mkubwa juzi amefiwa na mtoto wake mdogo kama wa kwangu alifariki wiki kama mbili zimepita leo asubuhi ndo ananipigia simu anataka kunitumia nguo hizo na ndio maana nimeuliza swali?
 
Back
Top Bottom